Nimempa ujauzito mke wa mtu

Nimempa ujauzito mke wa mtu

Ukishaliwa WITI ndio ukimbilie kwa kova, tunasubiri picha zako tuone utakavyokatikia
 
nikuulize ww hicho kitendo unakionaje huoni umemkosea mwenye enzi mungu na mwenye mke unategemea ni laana kiasi gani utakayoipata

Ukiacha laana kuna kingine jamaa anaweza kukifanya juu yangu...?
 
Uzinzi huo, uombe akuoige faini lakn kuna adhabu kubwa zaidi iwapo mkewe akipima akakutwa na maambukizi (yako)
 
Nasubiria kusikia kuwa mwenye mke amekupataka cjui utapost !!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wanakula WITI wewe,nenda kaoge m to msimbazi utoe mikosi
 
Kama uyasemayo ni kweli basi leo nitalala usingizi mzito sana

Kama ni mke wa ndoa inayotambulika kisheria,unacho cha kujibu endapo utashitakiwa,maana serikali hutoa hati kwa wawili hao,isipo kuwa tu Kama waliachana.Vile vile watu huwa na maamuzi yao binafsi ila sio rahisi wewe kujua ya moyoni mwa mtu.Kumbuka mbwa hata akiwa kirema usimdharau.
 
Back
Top Bottom