Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Na hapo kuhusu mtoto ameshuka kwenye kizazi, wenye elimu ya uzazi hiyo kitu inawezekana Kwa mimba inayo karibia kufika miezi mi tatu?
 
Wakati wengine tunahangaika kupata watoto dah 😢 life is not fair
 
Umri wako kwanza maana mimba sio kitu cha kutia stress kiasi Icho siku hizi
 
Imagine ndo mama yako dada yako au binti wako wa kike anafanyiwa hivyo
 
Mtoto wangu wa kwanza nili mpata nikiwa 21 tena first year chuo sina Boom wala kazi yoyote usitake kujua nili toboa vipi ila mtoto ni baraka ..just jitoe tu kama una amini mtoto ni wako ..zingatia neno (kama unaamini ni wako) [emoji81]
 
Kwanini ulikuwa unamla?, kama hujui majukumu ni nini chuo ulikuwa unafanya nini?
 
Mtoto wangu wa kwanza nili mpata nikiwa 21 tena first year chuo sina Boom wala kazi yoyote usitake kujua nili toboa vipi ila mtoto ni baraka ..just jitoe tu kama una amini mtoto ni wako ..zingatia neno (kama unaamini ni wako) [emoji81]
Sio yeye kunirubuni mimi
 
Ukikibali kulea hii mimba akazaliwa mtoto asiyefanana na wewr ukahisi umepigwa. Jibu kwake litakuwa jepesi. Nilikuchukia wakati wa ujauzito, ulinikera.

Unaibiwa kijana stuka. Hyo sms imetumwa kwa watu kama nyie saba. Kila mtu kaambiwa placenta imeshuka tuma laki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…