Nimempa wife talaka kwa sababu kila akiongea anasema, "ushanifahamu ehh", sitaki mambo ya Jose Mara effect!

Nimempa wife talaka kwa sababu kila akiongea anasema, "ushanifahamu ehh", sitaki mambo ya Jose Mara effect!

Sio chai kweli hii ? ☕ ☕ ☕

Kosa hilo tu ndio la kumuacha mke ?
Mimi si wale wanaosema kosa Moja halimfukuzi mke.

Nimeshamuonya aache kumuiga Jose Mara, yeye hataki.

Sasa leo nimemkuta anamgombeza mtoto huku akilirudia hilo neno kama msisitizo.

Mi nikasema hapa, nikamtandika talaka!

Kwao!
 
Mimi si wale wanasema kosa Moja halimfukuzi mke.

Nimeshamuonya aache kumuiga Jose Mara yeye hataki.

Sasa leo nimemkuta anamgombeza mtoto huku akilirudia hilo neno kama msisitizo.

Mi nikasema hapa, nikamtandika talaka!

Kwao!
Utamrudia tu , ni swala la muda ..
 
Back
Top Bottom