secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #61
Yuda na kitambi chake utadhani kameza ball.Huku yuda na gudila eeeh kwani nyie mnataka niiiii??
Yuda,, ni dhambi kumwaga chakula ni dhambi tuseme ni dhambi shule inamtolea macho
Ndo Mimi 😎.Sina babu mgogo wala mla nyeto
Nimemwaga lager mzee acha zako 😂😂Yuda na kitambi chake utadhani kameza ball.
Njoo rombo krismas fanya kweli sasaNdo Mimi 😎.
hicho kimsemo kinaboaMtu kusema ushanfahamu ndio iwe tabu kwako lol
Njoo hapa kagera tunywe mbege kwa mama Munuo.Nimemwaga lager mzee acha zako 😂😂
Hilo limepita.Njoo rombo krismas fanya kweli sasa
Kagera ni kibosho huko ndo mpakani mwa wapalestina na wakiwoso.unajua mm mpalestina ogii aseeh ntaku kill arifuuuuNjoo hapa kagera tunywe mbege kwa mama Munuo.
Huyo mkubwa kwangu nilijua wa 2000Nimemzidi miaka 8.
Mi ni mkiwoso bwashee, nitakufirimba ujue aisee!Kagera ni kibosho huko ndo mpakani mwa wapalestina na wakiwoso.unajua mm mpalestina ogii aseeh ntaku kill arifuuuu
Wewe wa lini?Huyo mkubwa kwangu nilijua wa 2000
Mi sioni taabu na sikufahamu kama mtu akereke kwa msemo huo tu😅😅hicho kimsemo kinaboa
mtu anakiongea kila saa hujui tu
unaskia
"ushanifahamu vizuri?" kila baada ya nusu sentensi
Wa kitambo kidogoWewe wa lini?
Mimi ni wa 82. Sijui ulikuwa wapi enzi hizo. Kiunoni mwa babayo, right?Wa kitambo kidogo
Mwaka 12 nilikuwa darasa la piliMimi ni wa 82. Sijui ulikuwa wapi enzi hizo. Kiunoni mwa babayo, right?
Fayaaa 🔥Mwaka 12 nilikuwa darasa la pili
Ndiyo.Ushatufahamu eehh.!!