Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
 
Acha upoyoyo, watu tunagegeda mabubu na story ziñapanda sembuse huyo anayeongea?
Kuwa serious kidogo.
 
Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Download keyboard ya translation
 
Ndio nenda play store download hii tena ina MB chache sana
Kwan ina tafsiri lugha

Sawa ngoja niende whatsap

Screenshot_20241128-213050_Google Play Store.jpg
 
Back
Top Bottom