bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
uzuri wa kuota ndoto ukaikumbuka unaweza kuimalizia vile inakupendeza iwe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello Manyanza, how are you?Madam 🤣🤣🤣
Na Miss Kiinglish chako
Mi good You good ?Hello Manyanza, how are you?
Mi good to.Mi good You good ?
Mpakie mkongo atajifunza kiswahili mpaka kinyumbaniManzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Umemuokota sehemu au? Na kama hujuwi kiingereza ulimpataje? Au umeambiwa I love you ukajuwa umepata mpenzi? Wazungu ni kawaida yao kusema I love you bila kumanisha ni wapenzi.Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Mkuu futa wazo la kuomba hela kwanini tuna tanguliza njaa sana we unajua kama wazungu akili zao na sisi zinawaza mambo tofauti na Mzungu wanapenda kujua Tabia za jamii kabla ya kuingia nayo kwenye Ushirika na Wazungu washajua ukiwa na Wafrika yeye atapenda pesa tu na siyo Mapenzi, ukiwanae na umuombi pesa anakua ana shangaa kimoyo moyo, Maana wananchi tumeshazoeshwa wanzungu wana pesa na Matajiri kitu ambacho siyo kweli Tanzania hii kuna watu wa kawaida wana pesa wazungu wanasubiri.Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
pesa sina tumia lugha uwezayo
Muongo wewe lete hbr zingine Acha ujinga wako huoManzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Weee kwenu Dodoma au? Mbona una asilibya kua omba omba? Nan alkuambia ukiwa na urafk na mzungu unabadilka unakua omba omba ?naye ana stress za kwao na anahitaj kukaa bila kuongezewa stress!! Kaa utulie tafuta pesaManzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,