Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Wewe si useme tu umeopoa kibibi cha kizungu huko kwenye mtandao. Kuwa makini na vijana wa Nigeria a.k.a yahoo boys watakutapeli muda sio mrefu. Hapo wewe ndio utakuwa fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OlokaManzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Hapana mkuu huyu namjua kaja hadi tz kwani hao wanijeria simu zao zinasoma akiwa USA na namba zao ni USA au mana naongea had vidio callWewe si useme tu umeopoa kibibi cha kizungu huko kwenye mtandao. Kuwa makini na vijana wa Nigeria a.k.a yahoo boys watakutapeli muda sio mrefu. Hapo wewe ndio utakuwa fursa
Ndicho nilichokipenda mkuu ngoja nikaze hadi nijue lughaUtatoboa na utamnyandua tu huyo na ukimtumia vzr utajua vzr english
English so ngumu kihvyo kikubwa unapotumia translator hakikisha usiishie tu kuandika uwe unakariri.
Hii itakusaidia sana tu