Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
Mapema sana kusema shida zako kwa Mzungu.. Vumilia

Soma mtandao jinsi ya kuwini mapenzi ya kizungu.. Utafurahia milele

Na lazima useme una kazi akiukoza kiwango ndio utaje kidogo.. Ila usiombe pesa

Koroga Sukari vizuriiiii, mapenzi mbele muhimu kwa hao watu na kuonyesha uaminifu

Sio nitakupigia saa 2 unajisahau au unafikiri ukimwekesha ndio unawini utampoteza

Wewe kama huwezi weka ka excuse then timiza

Kuna baridi kule sasa, hivyo mpe raha na kwenye simu mapenzi maneno matamu..

Naandika natamani wangu anipe maneno matamu now.. Mbantu wangu mTZ mwenzangu amalize ubizi anipe Sukari nami niikorogeeee eeeeh weekend
 
Kwa Lugha kazana nawe sema umefundishe kidogo kidogo kiswahili

Kuwa kweli kwamba unatumia Google translator maana Google wengi inajulikana mtu katuma hata chat gpt inagundulisha

In short kuwa wewe na kuwa mkweli ila usiombe pesa na kulia njaaa eeeeh vumilia
 
Mapema sana kusema shida zako kwa Mzungu.. Vumilia

Soma mtandao jinsi ya kuwini mapenzi ya kizungu.. Utafurahia milele

Na lazima useme una kazi akiukoza kiwango ndio utaje kidogo.. Ila usiombe pesa

Koroga Sukari vizuriiiii, mapenzi mbele muhimu kwa hao watu na kuonyesha uaminifu
IMG-20241129-WA0002.jpg

Sio nitakupigia saa 2 unajisahau au unafikiri ukimwekesha ndio unawini utampoteza

Wewe kama huwezi weka ka excuse then timiza

Kuna baridi kule sasa, hivyo mpe raha na kwenye simu mapenzi maneno matamu..

Naandika natamani wangu anipe maneno matamu now.. Mbantu wangu mTZ mwenzangu amalize ubizi anipe Sukari nami niikorogeeee eeeeh weekend
Asante kwa muongozo vp anafaa 🖕🖕🖕click expand kwenye coment yako ila haya mambo yatanishinda mana anauliza kazi yangu na je tz kuna fursa gani
 
Ulimpataje bila kujua hilo lugha ? Nadhani endelea hivyo hivyo...
 
We umekutana na wezi wa mtandaoni unasema sijui nn subiri utakapipigwa ndio akili itakukaa sawa
 
Mwambie ukweli kuwa lugha yako mama ni swahili

Lakini endelea kuchapia na huku ukijinoa kwa wataalam wa english huku ukiendelea kutumia fursa hiyo.
 
Mwambie ukweli kuwa lugha yako mama ni swahili

Lakini endelea kuchapia na huku ukijinoa kwa wataalam wa english huku ukiendelea kutumia fursa hiyo.
Nilipofikia
Mwambie ukweli kuwa lugha yako mama ni swahili

Lakini endelea kuchapia na huku ukijinoa kwa wataalam wa english huku ukiendelea kutumia fursa hiyo.
 
Attachments

  • Recorder_29112024_211537.jpg
    Recorder_29112024_211537.jpg
    392.4 KB · Views: 2
Recorder_29112024_211537.jpg

Angalau kidogo asanteni member wote kwa mchango wenu na kesho natuniwa simu toka uk
 
Nilipofikia

Utatoboa na utamnyandua tu huyo na ukimtumia vzr utajua vzr english

English so ngumu kihvyo kikubwa unapotumia translator hakikisha usiishie tu kuandika uwe unakariri.

Hii itakusaidia sana tu
 
Umenikumbusha wale matapeli wa kujifanya marafiki WhatsApp halafu wanakutumia vipaseli vya zawad zako, aloooo nilijitutumua na tulielewana hivohivo
yes yes kibao
 
Back
Top Bottom