Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

Wewe si useme tu umeopoa kibibi cha kizungu huko kwenye mtandao. Kuwa makini na vijana wa Nigeria a.k.a yahoo boys watakutapeli muda sio mrefu. Hapo wewe ndio utakuwa fursa
 
Oloka
 
Wewe si useme tu umeopoa kibibi cha kizungu huko kwenye mtandao. Kuwa makini na vijana wa Nigeria a.k.a yahoo boys watakutapeli muda sio mrefu. Hapo wewe ndio utakuwa fursa
Hapana mkuu huyu namjua kaja hadi tz kwani hao wanijeria simu zao zinasoma akiwa USA na namba zao ni USA au mana naongea had vidio call
 
Utatoboa na utamnyandua tu huyo na ukimtumia vzr utajua vzr english

English so ngumu kihvyo kikubwa unapotumia translator hakikisha usiishie tu kuandika uwe unakariri.

Hii itakusaidia sana tu
Ndicho nilichokipenda mkuu ngoja nikaze hadi nijue lugha
 
Ngoja akiku hush pup ndio utajua kuwa sio kira kipara ni cha pesa vyengine makovu..............
 
Ngoja akiku hush pup ndio utajua kuwa sio kira kipara ni cha pesa vyengine makovu..............
Siwezi kwenda huko labda kwa ishu zangu ila yeye anakujaga kwa mwaka mara nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…