Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

Ila anayejitambua ukitanguliza sex pia hatokuelewa mimi binafsi mtu anayetanguliza ngono hatuwezi elewana yaan na shida ya mwandishi alitaka kula kimasihara,sio kila mtu analiwa kimasihara
Ule Uzi umeharibu sana watu acha tu. Pengine alitaka kuja simulia masihara yake kama wengine, ko alikua anajaribu masihara za wengine kama zitafanya kazi kwake.
 
Mleta uzi niambie unaishi wapi? Na hyo demu anaishi wap?nikupe mbinu za kivita.
 
Uishi miaka mingi mfalme....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…