Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

Mkuu sasa yeye alitegemea baada ya dushe kudisa mlipike kama supu ya mkia wa ng'ombe...?
Sijui huwa anawaza nini!
Huyu binti huu ni mwaka wa tatu hataki kutoa zaga.
Huwa tunaachana tunarudiana.
Sijawahi kumgonga.
Jana ananiambia yuko tayari awe bi mdogo leo ananibania mbunye
 
Sasa ilikuwaje we ukavua nguo?
Sasa unauliza bange kwa wanajeshi wa Msumbiji .
Huyu binti huu ni mwaka wa tatu hataki kutoa zaga.
Tunaachana tunarudiana, sababu ya kuachana ni hiyo tu ya kubania mzigo
 
Joka jeusi linasemaje kuhusu bikira?.
 
Sijui huwa anawaza nini!
Huyu binti huu ni mwaka wa tatu hataki kutoa zaga.
Huwa tunaachana tunarudiana.
Sijawahi kumgonga.
Jana ananiambia yuko tayari awe bi mdogo leo ananibania mbunye
Mwanangu naomba nikwambie ukweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza kwa miaka mitatu upo ndani ya mahusiano Bila kupewa papuchii ni dhahiri huyo demu hajakupenda

unajitahidi sana kumuonesha kuwa unampenda lakini demu hakupendi narudia tena demu hakupendi
 
Sijui huwa anawaza nini!
Huyu binti huu ni mwaka wa tatu hataki kutoa zaga.
Huwa tunaachana tunarudiana.
Sijawahi kumgonga.
Jana ananiambia yuko tayari awe bi mdogo leo ananibania mbunye

Mkuu hii kesi yako inafanana na kamchepuko kangu kamoja ivi... nadhani kuna wanawake hua ata hawajui wanataka nini. Mimi hako kamchepuko nakenyewe ni hivyo hivyo tuna zaidi ya miaka mitatu tangu tuzoeane ila hakataki kutoa mbususu. Cha ajabu kenyewe ndio kalianzisha mazoea na mimi, tuki chat utadhani ni wapenzi hayo makopakopa, ma i miss u, mara tuitane sweetie, baby, honey ila ikija kwenye mbususu tunagombana na kuachana baadae tunaanza tena. Miaka nenda rudi mi mpaka nimeshachoka sasa
 
Hawa watu yawezekana hawana hizo mbususu tunazozitaka. Wanaogopa tu kutuambia
 
Nimeipenda hii post yako.
Ni heri ujue akupendi kuliko kujipendekeza.
Ila daaahh tunaachana tunarudiana. Na safari hii yeye ndio kaniita alinikuta nakula mahali tukapeana mawasiliano upya.
Either hanipendi au hana K ya kunipa.
 
Kuna sababu tatu zinazoweza kupelekea yeye kukataa..
1.huenda afya yaje haiko vizuri, kumbuka wapo wanaozaliwa wakiwa+..pimanen afya
2.huenda aliwah kufanyiwa vitendo vya kikatili kama kubakwa au kuingiliwa kinyume na maumbile hali iliyompelekea kisaikolojia kua affected.
3.huenda hana changamoto yoyote kati ya hizo mbili hapo juu,ni msimamo wake binafsi tu.
 
kwa jinsi nilivojifunza kutoka kwako hauko romantic na kwa hili watoto warembo wanaojielewa watakutesa sana unahitaji msaada wa kisaikolojia tatizo lako huna ushawishi
 
Nimecheka eti kupeana mbususu au kutukiana kama bata aiseee niwe mkweli mm mwenyewe Nina kamanz ka design hiyo huu mwaka WA pili sijapewa kipeuo Cha pili yaan hatujafanya MATUSI..sikasomi kwa Maana kila nikimeet nako nikianza mishe za kuapply mbunye utasikia mi naondoka.hakakumbuki kuwa mm shida zake zote ndogondogo na clear.. KANAPENDA HELA ZANGU ILA HAKAPENDI KUNIPA TUNDU
HUWA nakapotezea inafika kipind kanaibuka Tena na Leo tuna miadi ya kukutana.nitaleta MREJESHO wa leo..
Ninachoshangaaa Mara ya kwanza nakatongoza kalikubali kuwa fresh tutapanga mda tunyanduane Mana maisha Ni kusaidiana episode 1 Nilikaongezea hela 120k kanunue kimeo simu
MADEMU HAWASOMEKI
 
Hapa nahisi Kuna ukwel Hasa kwa kale kamanz kangu... Kuna siku NILIKaAMBIA TWENDE tukapime tarehe moja then TWENDE Mara ya pili tarehe 30 kupima tena ndo tunyanduane kaligoma..
Hiyo ya pili Leo nitakadodosa na hiyo namba 3 inawezekana pia Ina UKWELI..
 
Ngoja nikienda tena nibebe vipima UKIMWI.
Taleta mrejesho
 

Yeah
 
Ule Uzi umeharibu sana watu acha tu. Pengine alitaka kuja simulia masihara yake kama wengine, ko alikua anajaribu masihara za wengine kama zitafanya

Nimeipenda hii post yako.
Ni heri ujue akupendi kuliko kujipendekeza.
Ila daaahh tunaachana tunarudiana. Na safari hii yeye ndio kaniita alinikuta nakula mahali tukapeana mawasiliano upya.
Either hanipendi au hana K ya kunipa.
Labda ana mwana mwingine anamchapa miaka 3?? Usikute Kuna mchizi anakula mzigo wew unatoa matumizi. Tafuta mwingine anayekupenda hata bikra hasumbui miaka 3. Wanaume tumesema piga chini huyo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…