Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

Ila anayejitambua ukitanguliza sex pia hatokuelewa mimi binafsi mtu anayetanguliza ngono hatuwezi elewana yaan na shida ya mwandishi alitaka kula kimasihara,sio kila mtu analiwa kimasihara
Wap ww unaweza kuta huyo demu anagawa sana sema anamkazia muhuni kisa kamuona ni Mr. Nice guy
 
Wap ww unaweza kuta huyo demu anagawa sana sema anamkazia muhuni kisa kamuona ni Mr. Nice guy
Mimi Jana nimeimba mashairi kama yote Lakini hata romance kaligoma, hapo hapo kenyewe kananitolea mkekaweekend ijayo Kuna kitchen party halafu tarehe tatu mwez WA Saba HARUSI NAOMBA UNISAIDIE 70,000 nikajibu poa... Nikichomkea kuhusu makopakopa kanaruka.... Kimoyo nikasema Leo sitoi hata Mia.
NIMEAMINI pale hakuna chembe hata 0.000 ya kupendwa Ila KANAPENDA niwe kikoba wake wa milele. Jana nimekaachia 10k kamezoea kila meeting kanalamba 40k.... Mda WOTE KAMENUNA... baadaye nikatuma sms helloh sweetie umeshatinga mahome kimyaaa hakajahibu na bando nimekaunga mamaeeeeee.. isitoshe kana wivu yaaan hata sikaelewi....
*TUTAFUTE HELA"
 
Yaani wewe ni WA kupigA makofi kabisa.........unashika mpaka mbususu haaafu upati?? Umri wako wewe mvulana tafadhali
 
Akitaka pesa sasa ni kumchana tu.
Kitu kwa kitu.
Toa mbunye upate pesa. Sio kujiuza ni kama kuonyeshana kupendana. Maana wanaojiuza dar wapo mpaka wa buku 2 na ladha ni ileile.
 
Akitaka pesa sasa ni kumchana tu.
Kitu kwa kitu.
Toa mbunye upate pesa. Sio kujiuza ni kama kuonyeshana kupendana. Maana wanaojiuza dar wapo mpaka wa buku 2 na ladha ni ileile.
Akiomba hela we mPE matumaini kuwa UTAMPA asiwe na wasiwasi huku na wewe ukikumbushia kwa MBAaaaaLI Sana.ILA LAZIMA USAKE PISI KALI KIWANGO ZAID YAKE BILA KUSAHAU KUSAKA HELA.be humble kwake kwa maneno tuu..
 
Sasa badala ya kutuwekea picha tuone ukubwa au huo udogo wake wewe unaweka picha ya pesa? Zinahusikaje sasa kwenye huu mjadala?
 
Usingetakiwa kumpa hata hiyo ten ashakuona atm yake na game hupewi wanapewa wengine
 
Yani ndio ulimpelekea pesa zote hizo? je wazazi wako kule vijijini wanaishije?
 
Kongole nyingi kwa bidada, unatoaje mbususu kisa hela ya kodi mxiuuuu
 
Aaaah,hapo jiongeze umekutana na kadangaji
 
Inaonekana wewe uko kibiashara zaidi kwake ndiyo maana anakutolea nje.
 
naomba namba yake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…