Nimempenda lakini hatufahamiani

Hana,angekua na hela mambo yangekua yameshajipa wala asingefika huku kuja kulia lia kuomba msaada

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Rubiikimimi[emoji85]
 
Penda kula nae chipsi mayai kama wanaume wa Dar wafanyavyo
 
yeah huwa namtolea mimacho tu... Mara kibao anajipitisha hapa offisini kwangu
mwanaume lazma uwe na comfidence hasa kwa hawa viumbe..mfuate muda ambao yupo mwenyewe ongea nae ishu za kawaida kwa muda alafu hit the point mshike mkono then sogea zaidi karibu yake muda wa usiku itakua vizuri(utakua na comfidence zaidi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hichi kitu sikipendi it once happened to me,dem nmekutana nae road namp hi anajbu kam hataki,naomb namb et "sina simu" akat nmemuona nayo nilihisi vbaya ,since then hua sishobokei dem ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una papara na unaweza ukawa na mawazo ya uovu, siku ya kwanza kuongea uliuliza maswali magumu sana, jina na namba ya simu, ungempa muda angekuelewa maana watoto wa kike wana saikolojia ya kuzaliwa kwa KUSIKILIZA, ndio maana kuna msemo usemao WANAWAKE HUPENDA KWA KUSIKIA NA WANAUME KWA KUONA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jina kakukatalia bado ukamuomba namba ya simu
hivi nyie wa mikoani mna matatizo gani ??

labda mmezoea kupigana ngwala vichakani kisha mnamalizana
Aibu naona mimi

Itakua katoto haka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…