Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

Ukimwi haupo ni imani tu za watu ndio zinafanya uamini kuwa ukimwi upo. Ni wadada wangapi umelala nao bila kujua afya zao alafu ukabaki salama? Mbona hawakukuambukiza? Ni imani potofu tu iliyojengeka ili kuogopesha watu wasizisuuze vilivyo nyapu za wadada! Mimi nimetembea na wadada waliokuwa wanasadikika kuwa na ngoma ila mpaka sasa natamba,bahati mbaya wao washafariki.sijui chanzo cha vifo vyao ila mimi sina ukimwi.

Mkuu weka ndani haraka sana wanaokushauri uachane nae,wanamtamani,ukishamuacha wanamchukua,vinginevyo wao ni "kataa ndoa"
 
Ukimwi haupo!
Uthibitisho ni upi
 
😁😁😁
 
Nipe mie huyo kama wee humtaki
 
Nakushauri oa.huyo mrembo usimwache ikiwezekana uoe wawili mmoja wa ukimwi na mwingine wa kaswende maana kifo ni kifo tu na vitu vyote lazima vife
 
Nakushauri oa.huyo mrembo usimwache ikiwezekana uoe wawili mmoja wa ukimwi na mwingine wa kaswende maana kifo ni kifo tu na vitu vyote lazima vife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…