Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

mkuu
Piga hiyo kitu ,wote ambao hatujaambukizwa wamredio ama ngwengwe duniani hapa ,mbinguni tunaenda kuambukizwa otomatic while wanaokufa kwa ngoma duniani wao tukio Hilo haliwahusu na hawatakua nao tena
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa kuna uwezekano wa kupiga kavu na bado nisipate maambukizi
Yes and No.Maambukizi yamepungua au unaweza usiambukizwe kama mhusika anajua status /amepima na anatumia dawa(ARV) kama inavyotakiwa virusi vinakuwa vimefubazwa (suppressed) kiasi kwamba hawezi kuambukiza au hutaambukizwa.Pia awe anapima "viral load" kama inavyotakiwa au kushauriwa na wataalam wa afya
 
Thanks
 


Nafikiria Wana JF tukuchangie mahali mkuu ... 😎😎😎😎
 

Tamaa mbele mauti nyuma
 
Picha yake tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…