Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akilea ndio haipiti tena?Miss siunalea wew?
Inapita tatizo kujazwa upepoAkilea ndio haipiti tena?
Hahaha alijazwa analea tena,ata wakipishana mienzi sita sita sio mbaya,maandiko yanasema zaeni mkaujaze ulimwenguInapita tatizo kujazwa upepo
KENZY wangu usimfananisheMara Pap, kumbe KENZY ni Lucas Mwashambwa, utaimbiwa nyimbo za CCM mpaka uchoke.
Nataka furaha Tu mkuu .ukinipa nakupenda Sana Tu.Nipende na mimi
Acha ubahili wewe maisha ni haya haya.Kwa mwanaume, huu ni mwezi wa kukaa kimachale sana...
Ni vibomu kila sehemu kwanza ngoja nimbwage huyu mrembo.Kwa mwanaume, huu ni mwezi wa kukaa kimachale sana...
Jeuri ya kumbwaga mwanamke huna.tena mwezi huu utafanya na usajili mpya .Ni vibomu kila sehemu kwanza ngoja nimbwage huyu mrembo.
Wazee m atumia mbinu ga i kuwabwaga pisi kali
Mbona unanitisha ndugu yangu? Hafai kwa matumizi?Kweli kila chupa ina mfuniko wake 😹
🤣🤣🤣 Usajori mpya muhimu sana sii unajua mwanaume lazima uwe na mademu watatu siku pisi ikisema ikubwage u apakujishikizaJeuri ya kumbwaga mwanamke huna.tena mwezi huu utafanya na usajili mpya .
Wewe hapo kaa kimya .unavopenda k wewe
Nimemjua Jana tuKuna watu watasema hii ni ID moja