Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 814
- 108
Charity umeuwa kila kitu......all in all I will not stop loving bhtLakini baba mkubwa utampendaje mkweo? basi angalau uende kwa twin wake tufiche hii aibu.
Nimekupa thanks, angalia!
Big up sana, hope na mimi nitampiku mkuu Balantanda
Mkuu kaza buti! Mapenzi yanagawanyika kama Moyo ulivyo gawanyika, nina uhakika Bala yupo kwenye chember moja ya moyo, chemba nyingine tatu bado hazijajazwa!! tuseme labda moja ishaumizwa enzi za ujana wake....basi bado ziko mbili mpyaaaa!!
uwiiii!!! abomination hii sasaCharity umeuwa kila kitu......all in all I will not stop loving bht
Mkuu kaza buti! Mapenzi yanagawanyika kama Moyo ulivyo gawanyika, nina uhakika Bala yupo kwenye chember moja ya moyo, chemba nyingine tatu bado hazijajazwa!! tuseme labda moja ishaumizwa enzi za ujana wake....basi bado ziko mbili mpyaaaa!!
aaah...kumbe hata yeye amejua eeh...matekniki yalikuwa si ya mchezo...itabidi kama ni hivyo nimgongee na GS aweze kumpata huyu wake...
naomba unisaidie sis heeeNa wewe unamshauri mwenzio vibaya.mume/mke wa mtu sumu,unataka amwagiwe acid?
uwiiii!!! abomination hii sasa
zote zimejaaa na wewe B
Charity usiseme hivyo? kwani wenye sifa ambazo GS kazitoa anazo huyo huyo mtu X? wapo wengi, yeye kaenda huko...hata mimi namfaham twin wa bht lakini bado ninamuhitaji yeye bht na si twin....
Unadhani GS ni mtu wa kwanza kupenda online? tupo wengi, na mbaya zaidi pale unaposoma post za huyo mtu........Wengine huwaga tunandikaga vya kweli
Na wewe unamshauri mwenzio vibaya.mume/mke wa mtu sumu,unataka amwagiwe acid?
mbona wanaume wapo wengi au unadhani ni wanawake?hivi eeeh....sasa itakuwaje?
Preta ni pacha wa bht...........wanarandana hasa.............Hope will help
kama kuna wanaume hao siku hizi basi wamepitwa na wakati.....yani mke a-do ze nidfuli na kidume alafu u-deal na kidume??!!! kama maza house ndo alimpenda kwanza unafikiri nn kitatokea.....hela ya mume ndo itamtibu jamaa, na ataendelea kupewa joto kama kawa akiwa na sura yake mbaya.
Tena maza house anaweza akauza hata gari akasema imeibiwa then ampeleke jamaa kwa plastic surgery!!
+255 au ? tunaanzaje, haki tena nitaenda hewani mkuu Bigirita....iandike yote, calling from somewhere nje ya TZ. Balantanda asichukie, nasikia hana namba yake!!!
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
Charity umeuwa kila kitu......all in all I will not stop loving bht
Dah nimemiss!! haya na mm nichagulieni basi? Someni Signature yangu!!
kaka hivi kweli unakubaliana na upendo kama huo?Upendo wa kweli hauna sababu!...Keep it up, na usikilize moyo wako unakokutuma!
Haya bibie ngoja nivute muda kidogo nadhani yupo anajijua atasema tu.....:target:Hatuchaguliani,unapropozi mwenyewe.Jukwaa lolote unalotaka.