Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Nimekupa thanks, angalia!
Big up sana, hope na mimi nitampiku mkuu Balantanda

Mkuu kaza buti! Mapenzi yanagawanyika kama Moyo ulivyo gawanyika, nina uhakika Bala yupo kwenye chember moja ya moyo, chemba nyingine tatu bado hazijajazwa!! tuseme labda moja ishaumizwa enzi za ujana wake....basi bado ziko mbili mpyaaaa!!
 
Na wewe unamshauri mwenzio vibaya.mume/mke wa mtu sumu,unataka amwagiwe acid?
 
Charity umeuwa kila kitu......all in all I will not stop loving bht
uwiiii!!! abomination hii sasa
Mkuu kaza buti! Mapenzi yanagawanyika kama Moyo ulivyo gawanyika, nina uhakika Bala yupo kwenye chember moja ya moyo, chemba nyingine tatu bado hazijajazwa!! tuseme labda moja ishaumizwa enzi za ujana wake....basi bado ziko mbili mpyaaaa!!

zote zimejaaa na wewe B
 
aaah...kumbe hata yeye amejua eeh...matekniki yalikuwa si ya mchezo...itabidi kama ni hivyo nimgongee na GS aweze kumpata huyu wake...

nimetafuta miwani nimekosa/////nimeshindwa kusoma katikati, nimesoma pembeni ya mistari.
 
uwiiii!!! abomination hii sasa

zote zimejaaa na wewe B

Basi mweke kwenye maini!! tehe tehe!! anatafuta joto.....Bala hayupo, do ze needful (lakini isiwe kama ile ya mke wa ndugu yake fide na h/boy)
 
Charity usiseme hivyo? kwani wenye sifa ambazo GS kazitoa anazo huyo huyo mtu X? wapo wengi, yeye kaenda huko...hata mimi namfaham twin wa bht lakini bado ninamuhitaji yeye bht na si twin....

Unadhani GS ni mtu wa kwanza kupenda online? tupo wengi, na mbaya zaidi pale unaposoma post za huyo mtu........Wengine huwaga tunandikaga vya kweli

Preta ni pacha wa bht...........wanarandana hasa.............Hope will help
 
Na wewe unamshauri mwenzio vibaya.mume/mke wa mtu sumu,unataka amwagiwe acid?

kama kuna wanaume hao siku hizi basi wamepitwa na wakati.....yani mke a-do ze nidfuli na kidume alafu u-deal na kidume??!!! kama maza house ndo alimpenda kwanza unafikiri nn kitatokea.....hela ya mume ndo itamtibu jamaa, na ataendelea kupewa joto kama kawa akiwa na sura yake mbaya.
Tena maza house anaweza akauza hata gari akasema imeibiwa then ampeleke jamaa kwa plastic surgery!!
 
Preta ni pacha wa bht...........wanarandana hasa.............Hope will help

Mkuu, unasisitiza kuwa trade mark ya BHT na pacha wake ni ya kwako, hivyo unaweza ku-authorise use of any of the two kama upendavyo?

Preta.........hebu do ze needful kwa Bala wakati BHT akijaribu kukagua kama BM anafaa kwa matumizi.
 
kama kuna wanaume hao siku hizi basi wamepitwa na wakati.....yani mke a-do ze nidfuli na kidume alafu u-deal na kidume??!!! kama maza house ndo alimpenda kwanza unafikiri nn kitatokea.....hela ya mume ndo itamtibu jamaa, na ataendelea kupewa joto kama kawa akiwa na sura yake mbaya.
Tena maza house anaweza akauza hata gari akasema imeibiwa then ampeleke jamaa kwa plastic surgery!!

Lakini tabu yote ya nini mpka mtu upoteze reception yako? mbona wazuri ni wengi wetu iweje mke/mume wa mtu?Ni tamaa zetu ndo zinatuponza na hakuna lingine hapo.
 
Dah nimemiss!! haya na mm nichagulieni basi? Someni Signature yangu!!
 
+255 au ? tunaanzaje, haki tena nitaenda hewani mkuu Bigirita....iandike yote, calling from somewhere nje ya TZ. Balantanda asichukie, nasikia hana namba yake!!!

Mi yangu macho tu................hahaaaaaaaaaaaaaa.......adh....Kweli mdogo wangu u king'ang'anizi
 
hakuna kitu kama hicho...huo sio upendo...ni tamaa zako za kingono! kemea huyo pepo mchafu atoke...huraaaaaaaaaaaaay!
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
 
Upendo wa kweli hauna sababu!...Keep it up, na usikilize moyo wako unakokutuma!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom