Samahani Shem. Tumsaidieje GS? Maana Balantanda ndo huyo ana wake, Mwanakijiji naye anadai amewowa! GS, ni vema ukituwambia Wana Jamii ili tukupe ushauri wa kikweli usije ukafa bure.
Nadhani kakutana naye hapa JF(kama sikosei).......sijui ndo matunda ya PM/JF Chart ama??;
"Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani."
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
na mimi ngoja ni confess hapa hapa,kwakweli nilimpenda sana FL1,sijawahi kumuona wala nini lakini tu ka avatar kake pamoja na michango yake na kutokujua kukasirika hakyanani mpaka nilimuota lol,ila siku nilipojaribu kuchombeza mzee MKJJ alinipiga mkwara ile mbaya.
Huyu ni Mwanakijiji huyu....
useme wewe my SM!!!
Najua GS yale mashairi ya Mwanakijiji yamemchengua akili.

alishawahi ku-confess humu humu juu ya hisia zake kwa MMK....though she was kinda not straight but if only one could read btn the lines.....mmhhh!!!
Komredi nimeamini siku hizi hatutongezi mademu wao wenyewe wanajileta, hebu mwambie babu achangamke mzigo huo.
Siku zote najua huyu ni mwanaume kume mwanamke kha!
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
hizo sifa za buluu zote ninazo, huenda likawa zari langu, acha nisubiirie PM.
Si nilikwambia babu...wenyewe wanajilengesha kwenye kumi na nane zetu na sisi hatuweki hiyana. Kama wanalipa tunamega halafu tunasonga mbele. Kila mtu ana mtego wake wa kuwanasia. Mwanakijiji yeye malenga. Anawakoga sana mashori na beti zake...
Siku zote najua huyu ni mwanaume kume mwanamke kha!
Si nilikwambia babu...wenyewe wanajilengesha kwenye kumi na nane zetu na sisi hatuweki hiyana. Kama wanalipa tunamega halafu tunasonga mbele. Kila mtu ana mtego wake wa kuwanasia. Mwanakijiji yeye malenga. Anawakoga sana mashori na beti zake...
Kwani mwanamume hawezi kumzimia Mwanakijiji? Huyo GS akiwa sampuli za akina Boflo je?