Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Samahani Shem. Tumsaidieje GS? Maana Balantanda ndo huyo ana wake, Mwanakijiji naye anadai amewowa! GS, ni vema ukituwambia Wana Jamii ili tukupe ushauri wa kikweli usije ukafa bure.

shem wewe je? maana GS anawapenda nyie wachambusi wa mambo ya sihasa....

vinginevyo BM na yeye aanze leo kutundika kule kwenye jukwaa lenu ili Gs am-conside na yeye.
 
Huyu Gender Sensitive naye anatuyeyusha tu, kwanini usimtumie PM? Maana kama hii topic ameileta JF nasihi huyo mtu lazima memba hapa!

GS jitoe ufahamu tu, umtumie PM mshkaji! Kizazi cha dot com hiki mama!
 
Nadhani kakutana naye hapa JF(kama sikosei).......sijui ndo matunda ya PM/JF Chart ama??;

"Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani."

Huyu ni Mwanakijiji huyu....
 
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

hizo sifa za buluu zote ninazo, huenda likawa zari langu, acha nisubiirie PM.
 
GS,mie nakushauri umtaje hapa watu wamthaminishe...

inawezekana watu kibao hapa wanampenda huyo huyo!i mean ukute hio chatroom anaitumia kutongoza wadada tuu...

mtu wa hivyo hafai,ukimtaja tutajua km ni deal la kweli au upuuzi tu...
 
na mimi ngoja ni confess hapa hapa,kwakweli nilimpenda sana FL1,sijawahi kumuona wala nini lakini tu ka avatar kake pamoja na michango yake na kutokujua kukasirika hakyanani mpaka nilimuota lol,ila siku nilipojaribu kuchombeza mzee MKJJ alinipiga mkwara ile mbaya.
 
utamwagiwa tindikali siku moja.....usiingie kichwa kichwa tu shem kwingine hakuingiliki!!!
 
Najua GS yale mashairi ya Mwanakijiji yamemchengua akili.

alishawahi ku-confess humu humu juu ya hisia zake kwa MMK....though she was kinda not straight but if only one could read btn the lines.....mmhhh!!!
 
jamani GS anampenda mwenye jina linaanzia na M lakini si mwanakijiji .........Holla
 
alishawahi ku-confess humu humu juu ya hisia zake kwa MMK....though she was kinda not straight but if only one could read btn the lines.....mmhhh!!!

Siku zote najua huyu ni mwanaume kume mwanamke kha!
 
Komredi nimeamini siku hizi hatutongezi mademu wao wenyewe wanajileta, hebu mwambie babu achangamke mzigo huo.

Si nilikwambia babu...wenyewe wanajilengesha kwenye kumi na nane zetu na sisi hatuweki hiyana. Kama wanalipa tunamega halafu tunasonga mbele. Kila mtu ana mtego wake wa kuwanasia. Mwanakijiji yeye malenga. Anawakoga sana mashori na beti zake...
 
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

Kwanza hongera sana. Pili mapenzi ya namna hii ni nadra sana kuyapata katika dunia ya leo. Nenda naye huyu taratibu mpaka mfahamiane vya kutosha lakini kamwe usirudi nyuma. Mimi pia nimo katika situation kama yako, yaani sijawahi kupenda au kupendwa kiasi hiki na kwa kweli ni raha tupu ingawaje umbali uliopo kati yetu ni mtihani mgumu sana kusema kweli.
 
Si nilikwambia babu...wenyewe wanajilengesha kwenye kumi na nane zetu na sisi hatuweki hiyana. Kama wanalipa tunamega halafu tunasonga mbele. Kila mtu ana mtego wake wa kuwanasia. Mwanakijiji yeye malenga. Anawakoga sana mashori na beti zake...

Hahahaha yeah kama kawa Komredi,
Lakini naona kwenye swala la kumega Mwanakijiji ni domo zege hatoweza kuchangamkia tender hiyo naamini dili lingekudondokea wewe komredi ungekuwa umesha tuma air ticket mkutane kwa mzee Madiba.
 
Siku zote najua huyu ni mwanaume kume mwanamke kha!

Fide Fide Fide...............kumbe na wewe this time umepatwa eeh??!!!!

Si nilikwambia babu...wenyewe wanajilengesha kwenye kumi na nane zetu na sisi hatuweki hiyana. Kama wanalipa tunamega halafu tunasonga mbele. Kila mtu ana mtego wake wa kuwanasia. Mwanakijiji yeye malenga. Anawakoga sana mashori na beti zake...

na wewe sasa ndo maneno gani lakini haya??? as if its an offence!!!!

we ngoja na wee dawa yako inachemkia huko Ikwiriri!!! utaliwa na mamba mwaka huu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom