Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Pale magomen usalama mmoja aligonga bampa la nyuma la subaru yangu ina siku 3 tu wakanishawishi nikimbie mimi kisa mwenzao kaumia watanifanyia vurugu.
 
Tena matusi wanatukana kwamba gari ya mkopo utasema wao wanayo magari,
 
naona huu uzi ni wa wenye magari,mabodaboda watapita kando.Ila na sisi tusio na magari mnatupa morali ya kumiliki vyuma siku moja.Maana wajanja wanakuambia "hate or get inspired"
Hata sie wengine hatuna magari ila tunachangia mkuu[emoji28][emoji28]
Likud anakupiga ngumi nzito matata kabisa, ananikumbusha kwetu Temeke kuna mtu alikua anajiita Tom Po [emoji38]
 
Kwanza mkuu tuwekee picha ya jinsi ulivyokua umevaa
 
ulivaa kata k nusu matako ndio walioanzisha wakristo weupe
 
Kuna mmoja alinisababishia ajali, alinigonga gari bado mpya nimepewa ina wiki tatu tu.
Yaani sina hamu nao kabisa..
Mimi kuna mmoja alinigonga kwenye tuta nikamtaiti cha kulipa hana nikasepa na simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…