Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kwa kumpiga, umefanya dhambi na kupoteza thawabu yoyote itokanayo na mfungo wako.Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza kuniongelea majibu ya kijinga
Akawa ananipa kashfa juu ya kashifa kwamba kufunga utafunga wewe? Aisee nilichukia bwana nikampiga kofi mbili na ngumi akaanguka chini na kuzimia pale pale aisee nimechanganyikiwa hapa na ukizingatia mtu mwenyewe niliyempiga ni mwanamke daaah najuta sana aisee😩😩😩😩
Kama ni Mgalatia, basi ni yule ambaye Mtume Paulo aliuliza kwamba amerogwa na nani.Kifupi wewe ni mgalatia mwenzangu,umeamua kutunga uongo ili ufurahi kuona waislamu wakitukanwa
Kushinda njaa wengi tunashindaUjinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza kuniongelea majibu ya kijinga
Akawa ananipa kashfa juu ya kashifa kwamba kufunga utafunga wewe? Aisee nilichukia bwana nikampiga kofi mbili na ngumi akaanguka chini na kuzimia pale pale aisee nimechanganyikiwa hapa na ukizingatia mtu mwenyewe niliyempiga ni mwanamke daaah najuta sana aisee😩😩😩😩
Full stop..Kufunga ni ibada lakini watoto wengi wa mamdogo mmechukulia kama ni Sifa na matangazo.
Hata mtu akila mbele yako imani yako haiwezi kuteteleka kama umefunga kwa nia na kweli.
Wewe haujafunga, wanaofunga hawasemi na ni wavumilivu kwa wengine. Wewe umebadirisha ratiba ya kula chakula tu, maana wanaofunga hawapigani na hawana hasira za aina hiyo. Kukataa kula uamue mwenyewe halafu upige wanaokula. Shida kweli kweliUjinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza kuniongelea majibu ya kijinga