Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

Wewe hauna akili
 
Wewe haujafunga, wanaofunga hawasemi na ni wavumilivu kwa wengine. Wewe umebadirisha ratiba ya kula chakula tu, maana wanaofunga hawapigani na hawana hasira za aina hiyo. Kukataa kula uamue mwenyewe halafu upige wanaokula. Shida kweli kweli
Huyu itakuwa kufulia kumemlazimisha ashinde njaa.🤣🤣🤣
 
bora ufungulie tu. kufunga ni juu yako na Mungu wako, siye wengine hatpaswi hata kujua wala kujizuia kwa lolote
 
Bro nenda kituo cha polisi kilichokaribu yako ukaripoti hilo tukio la uvunjifu wa amani na kujeruhi kwa kukusudia, halafu punguza hasira
 
ulichokifanya sio sahihi.Mimi nimefunga lakini kila mda niko kwenye page za chakula na niko fresh tu 😂
 
Kama ulishindwa Kuvumilia mpaka akamaliza ulishindwa nini kutoka nje kidogo akala akamaliza ukarudi ndani kwahio kama umefunga wewe wengine ndio wasile. itoshe kusema we ni fala wa mwisho
 
Dah. Shehe unakosea.
 
Wapo wanakunja kanzu wafungie kiunoni soon kinawaka hapa....
 
We ni fala tu,mambo yako usisumbue wengine nyau we.
Kama ni mke wangu huyo hata mchepuko maji ungeita Mma.
 
Pole sana mkuu na saumu. Kigezo kuu ya kufunga si kukaa na njaa bali ni sabr ( subira), kusamehe, na upendo. Jitafakari hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…