Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Si unapenda kitonga, tulia uhudumie albabu.

Mzee unamtegemea kwa 93% unampiga, je ungekuwa unamuhudumia kwa 100% sio ungeweka kwenye pipa la tindikali [emoji848]
 
Hongereni na hicho ndicho mlichofata chuoni na serikali inawapa mikopo na mkipewa mnakula mnavimbiwa basi mnaanza kula kwa urefu wa kamba zenu mnaumuana na nyuso Kama unga wa maandazi na hapohapo tunategemea muwe wataalum katika fani zenu mje mtusaidie watanzania wenzenu!.

Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
Umejuaje wanapata mkopo?
 
Unampenda asiyekupend. Kama mko chuo anakupenda kwa sababu unamsaidia kitaaluma. Baada ya hapo mfanya kazi wa benki ambaye ndo mume mtarajiwa anatuma hela ya matumizi mnatumia wote. Kama unamsaidia kitaaluma haina shida ila baada ya graduation utaona vumbi kama la Kibondo-Kasulu
Inawezekana ila najutia mno
 
Sasa kama 93% ya mahitaji ananunua yeye na wewe anakupiga tough wakati hana kazi hujui kama unatunzwa na huyo mfanyakazi wa benki!
Nop, hata kama ila si anijibu kwa ukali
 
Hongereni na hicho ndicho mlichofata chuoni na serikali inawapa mikopo na mkipewa mnakula mnavimbiwa basi mnaanza kula kwa urefu wa kamba zenu mnaumuana na nyuso Kama unga wa maandazi na hapohapo tunategemea muwe wataalum katika fani zenu mje mtusaidie watanzania wenzenu!.

Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
Hamna
 
Kiukweli naomba wakukamate unyee ndoo kijana acha ungese uliopitiliza unampigaje mwanamke ambae sio mkeo eti kisa SMS hata kama ni mkeo hupaswi na koma.
Unafeli wapi kutumia ustaarabu na kumaliza jambo dogo kama hilo ipo siku yako u tau na ww utanyongwa na nitafurahi mnoo [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Sivumiliagi ujinga
 
Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kws kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!
Mapenzi ya chuoni sio ya kweli kabisa ni kusaidiana tu (anakusaidia na wewe unamsaidia) hivyo usijione kama umekuwa mmiliki.

Na ukikuta mwenzako ana plan B unajiongeza na kuondoka wala huna haja ya kupiga dada wa watu (Co partner wako akiwa na tabia tofauti unamuacha na sio kumpiga)

Na wewe umedhibitisha kabisa kuwa sio matured kabisa, yaani unampiga msichana wa watu ngumi ya jicho? hapo unaweza kuletewa Police any time ( kwa kujeruhi kwa maksudi)

Ningekuwa mzazi wake ningehakikisha ufungwa walau miaka miwili ili ukakulie huko! SHAME!
 
Dah wee Kaka mkorofi sana unajua jina aghlabu linakwenda na personal ya mtu kwanza mimi nakuona wewe mshamba limbukeni na mjinga kabisa .

Uko chuo huna kitu umeona msg tu imekurupua hivyo sasa ukiona analiwa si utajitundika i wish huyo mdada ningemjua jamaa bank ana mkwanja wewe bado uko chuo unaendekeza wivu wa kijinga ole wako huyo demu asiende polisi chuo kwisha na demu unamkosa .

Wivu wa kijinga plus huna kitu halafu koma kuangalia simu ya mwanamke huo ni ungese ,mwanamme bora ni yule anaejiamini, FYI Mwananke akitaka kukufanyia basi atakufanyia tu hata awe mkeo wa ndoa nakuona bado mgeni wa wanawake sasa ndio umejidhalilisha kabisa na atakufanyia mbele yako na hutafanya kwio daa dekii.
 
Back
Top Bottom