Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhUmejuaje wanapata mkopo?
Ujinga unatoka wapi hapo?We ni jingest
AlinikeraUmempiga Baba mwenye nyumba .......kenge wewe
Na ndio maana hujawa, hata ungekuwa usingeweza.[emoji13][emoji13]Mapenzi ya chuoni sio ya kweli kabisa ni kusaidiana tu (anakusaidia na wewe unamsaidia) hivyo usijione kama umekuwa mmiliki.
Na ukikuta mwenzako ana plan B unajiongeza na kuondoka wala huna haja ya kupiga dada wa watu (Co partner wako akiwa na tabia tofauti unamuacha na sio kumpiga)
Na wewe umedhibitisha kabisa kuwa sio matured kabisa, yaani unampiga msichana wa watu ngumi ya jicho? hapo unaweza kuletewa Police any time ( kwa kujeruhi kwa maksudi)
Ningekuwa mzazi wake ningehakikisha ufungwa walau miaka miwili ili ukakulie huko! SHAME!
Hii ni aibu kwakweli[emoji18]Yee mwenyewe anaonekana anajutia kupoteza hizo huduma na si mapenzi!
Sipendi kupiga, wale wanapenda kupigwa.Oa mkurya atakufaa sana...
Wewe si ni zee korofi? Usitulilie sisi. Ngoja akunyoooshe..Wanajamvi uzima upo?
Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).
Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kws kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?
Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?
Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?
Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.
Nawasilisha!
How?
Wewe ni mkorofi jina lako linasema hivyo na huyo demu wako fala sana na mshamba lakini jua mambo ya kupiga piga wanawake itakukosti sana na madamu ushampiga jua kuwa utampiga tena bro tafuta pesa hiyo tabia yako kinganganizi utaendeshwa sana na hao mabinti.Hilo mimi sijui. Iwe mke wangu au sio mke wangu, nabutua. Iwe ameamua au hajaamua sitaki kujua hilo atajua yeye.
Wewe ni mwanaume dhaifu sana.Ukizingua utapigwa tu
😂😂😂Unampenda asiyekupenda. Kama mko chuo anakupenda kwa sababu unamsaidia kitaaluma. Baada ya hapo mfanya kazi wa benki ambaye ndo mume mtarajiwa anatuma hela ya matumizi mnatumia wote. Kama unamsaidia kitaaluma haina shida ila baada ya graduation utaona vumbi kama la Kibondo-Kasulu
Kwa lugha nyepesi ni kwamba yeye na demu wake wote ni michepuko ya bank teller wa CRDB bankSasa kama 93% ya mahitaji ananunua yeye na wewe anakupiga tough wakati hana kazi hujui kama unatunzwa na huyo mfanyakazi wa benki!