Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Unachokora nini kwenye simu ya mpenzi wako ,ndio wewe unasubiri mpz wako kalala unachokora nyapu yake kuangalia ndani kama kafanya au hakufanya unatka ushahidi kamili ,Utafeliii wewe shauri yako .
 
Wanajamvi uzima upo?

Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!

Kwa kifupi wewe ni BOYA na huna akili
 
sasa we unampiga wakati mwenzio anatafta hela kwa jamaa wa benki ili muishi
 
Mkuu jitahidi kuandika kamamtu alienda shule
Asilimia kubwa ya wanachuo hawajatuliaa, c wasichana c wavulana.

Mlioowa wa standard 7 na form 4 mmepata bahati kubwa sanaa, ni wasichana ambao wanajitambuwa kwakweri, hawana vibuli, na wanahuluma kwa wammezao/wachumbawao.

Mlioolewa na wanamme wachamungu munabahati sanaa,,,haijarishi ana mali au hana almuhimu awe mchamungu, mpore, na mwenye upendo kwa mukewe/mchumba.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom