Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Nimempiga kwa kunijibu mkato si kwa kuwa naogopa[emoji3]
Hakuna cha kukujibu mkato wala nini..Unamuogopa boss lady😀😀

Naona umeanzisha uzi mwingine 😃😃kuwa makini na ganda la ndizi mwamba
 
Nashukuru kwa wote mlionipa moyo, ahsanteni. Jana nilikwenda saa 11 nikaambiwa kumbe hakupofuka jicho, ila uso ulivimba vibaya sana, na mkono uliteguka kwani nakumbuka niliunyonga, na mdomo wa juu ulipasuka kidogo.

Uzuri kule kaandika alivamiwa na vibaka, so nashukuru kwa hili!

Kifupi nna hasira mno, akizingua tena siwezi kumkawiza namzibua I don't care. Bora anitukane ila si kunijibu jeuri.

So nashukuru, bado namuuguza, now amepata nafuu.
Hovyooo..nyie ndo wanachuo mnauwanaga...we umemuoa huyo au kumtolea mahari mpk umtandike hvyo....
Huyo nae hana ndgu wa kukusweka ndn...
Angekua mdg wangu ungelala lumande...

And with tht ndo ushamsukumia kwa huyo staff wa bank....haezi endelea na wewe....
 
Wanajamvi uzima upo?

Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!

Huo ni unyanyasaji, uduni na upuuzi kama ana mahusiano mengine toka tafuta wa kwako peke yako
 
Hovyooo..nyie ndo wanachuo mnauwanaga...we umemuoa huyo au kumtolea mahari mpk umtandike hvyo....
Huyo nae hana ndgu wa kukusweka ndn...
Angekua mdg wangu ungelala lumande...

And with tht ndo ushamsukumia kwa huyo staff wa bank....haezi endelea na wewe....
Tunalisongesha, hapa hatoki
 
Kwao ulitoa mahari kiasi gani bwana mdogo mpaka uone uchungu kiasi hicho? Yaani wewe mwenyewe unalishwa na huyo demu halafu unachana mkeka? Lazima ujue unayofanya hapo ni batili na huna haki ya kuyapigania kwa namna yeyote! Hapo ni masomoni na mtoto wa watu kaletwa hapo asome hivyo acha ubahau.
 
Nimeelewa
 
Asilimia kubwa ya wanachuo hawajatuliaa, c wasichana c wavulana.

Mlioowa wa standard 7 na form 4 mmepata bahati kubwa sanaa, ni wasichana ambao wanajitambuwa kwakweri, hawana vibuli, na wanahuluma kwa wammezao/wachumbawao.

Mlioolewa na wanamme wachamungu munabahati sanaa,,,haijarishi ana mali au hana almuhimu awe mchamungu, mpore, na mwenye upendo kwa mukewe/mchumba.

Nimemaliza.
Kama huku home of great thinkers unaandika hivi ,vipi huko kwingine
 
Mkaka mzuri😉😉😉.
Njoo sasa inbox mrembo tu-arrange 14th February
😳😳kuitwa tu kaka mzuri imekuwa nongwa.

Hee sikuji.Baki na 14th February yako
 
Wanajamvi uzima upo?

Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!

Boom alimtoshi muache tu achepuke...... sema usimpge tena

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom