Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Si unapenda kitonga, tulia uhudumie albabu.

Mzee unamtegemea kwa 93% unampiga, je ungekuwa unamuhudumia kwa 100% sio ungeweka kwenye pipa la tindikali [emoji848]
 
Umejuaje wanapata mkopo?
 
Inawezekana ila najutia mno
 
Sasa kama 93% ya mahitaji ananunua yeye na wewe anakupiga tough wakati hana kazi hujui kama unatunzwa na huyo mfanyakazi wa benki!
Nop, hata kama ila si anijibu kwa ukali
 
Hamna
 
Sivumiliagi ujinga
 
Mapenzi ya chuoni sio ya kweli kabisa ni kusaidiana tu (anakusaidia na wewe unamsaidia) hivyo usijione kama umekuwa mmiliki.

Na ukikuta mwenzako ana plan B unajiongeza na kuondoka wala huna haja ya kupiga dada wa watu (Co partner wako akiwa na tabia tofauti unamuacha na sio kumpiga)

Na wewe umedhibitisha kabisa kuwa sio matured kabisa, yaani unampiga msichana wa watu ngumi ya jicho? hapo unaweza kuletewa Police any time ( kwa kujeruhi kwa maksudi)

Ningekuwa mzazi wake ningehakikisha ufungwa walau miaka miwili ili ukakulie huko! SHAME!
 
Dah wee Kaka mkorofi sana unajua jina aghlabu linakwenda na personal ya mtu kwanza mimi nakuona wewe mshamba limbukeni na mjinga kabisa .

Uko chuo huna kitu umeona msg tu imekurupua hivyo sasa ukiona analiwa si utajitundika i wish huyo mdada ningemjua jamaa bank ana mkwanja wewe bado uko chuo unaendekeza wivu wa kijinga ole wako huyo demu asiende polisi chuo kwisha na demu unamkosa .

Wivu wa kijinga plus huna kitu halafu koma kuangalia simu ya mwanamke huo ni ungese ,mwanamme bora ni yule anaejiamini, FYI Mwananke akitaka kukufanyia basi atakufanyia tu hata awe mkeo wa ndoa nakuona bado mgeni wa wanawake sasa ndio umejidhalilisha kabisa na atakufanyia mbele yako na hutafanya kwio daa dekii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…