Hakuna cha kukujibu mkato wala nini..Unamuogopa boss lady๐๐Nimempiga kwa kunijibu mkato si kwa kuwa naogopa[emoji3]
Hovyooo..nyie ndo wanachuo mnauwanaga...we umemuoa huyo au kumtolea mahari mpk umtandike hvyo....Nashukuru kwa wote mlionipa moyo, ahsanteni. Jana nilikwenda saa 11 nikaambiwa kumbe hakupofuka jicho, ila uso ulivimba vibaya sana, na mkono uliteguka kwani nakumbuka niliunyonga, na mdomo wa juu ulipasuka kidogo.
Uzuri kule kaandika alivamiwa na vibaka, so nashukuru kwa hili!
Kifupi nna hasira mno, akizingua tena siwezi kumkawiza namzibua I don't care. Bora anitukane ila si kunijibu jeuri.
So nashukuru, bado namuuguza, now amepata nafuu.
We sio mzima...kuna shida kwenye .malezi na makuzi yakoHilo mimi sijui. Iwe mke wangu au sio mke wangu, nabutua. Iwe ameamua au hajaamua sitaki kujua hilo atajua yeye.
We sio mzima...kuna shida kwenye .malezi na makuzi yakoHilo mimi sijui. Iwe mke wangu au sio mke wangu, nabutua. Iwe ameamua au hajaamua sitaki kujua hilo atajua yeye.
Huo ni unyanyasaji, uduni na upuuzi kama ana mahusiano mengine toka tafuta wa kwako peke yakoWanajamvi uzima upo?
Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).
Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?
Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?
Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?
Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.
Nawasilisha!
Sawa mzee nimeelewa.Nendeni mkasome chuoni acheni uzwazwa
SawaNendeni mkasome chuoni acheni uzwazwa
Tunalisongesha, hapa hatokiHovyooo..nyie ndo wanachuo mnauwanaga...we umemuoa huyo au kumtolea mahari mpk umtandike hvyo....
Huyo nae hana ndgu wa kukusweka ndn...
Angekua mdg wangu ungelala lumande...
And with tht ndo ushamsukumia kwa huyo staff wa bank....haezi endelea na wewe....
Okay i am waitin' for that!We sio mzima...kuna shida kwenye .malezi na makuzi yako
Soon utapata unachokitafuta
NimeelewaKwao ulitoa mahari kiasi gani bwana mdogo mpaka uone uchungu kiasi hicho? Yaani wewe mwenyewe unalishwa na huyo demu halafu unachana mkeka? Lazima ujue unayofanya hapo ni batili na huna haki ya kuyapigania kwa namna yeyote! Hapo ni masomoni na mtoto wa watu kaletwa hapo asome hivyo acha ubahau.
Kama huku home of great thinkers unaandika hivi ,vipi huko kwingineAsilimia kubwa ya wanachuo hawajatuliaa, c wasichana c wavulana.
Mlioowa wa standard 7 na form 4 mmepata bahati kubwa sanaa, ni wasichana ambao wanajitambuwa kwakweri, hawana vibuli, na wanahuluma kwa wammezao/wachumbawao.
Mlioolewa na wanamme wachamungu munabahati sanaa,,,haijarishi ana mali au hana almuhimu awe mchamungu, mpore, na mwenye upendo kwa mukewe/mchumba.
Nimemaliza.
Kama huku home of great thinkers unaandika hivi ,vipi huko kwingine
Mkuu jitahidi kuandika kamamtu alienda shule
Mkaka mzuri๐๐๐.Heri..mambo ni poa sana mkaka mzuri
๐ณ๐ณkuitwa tu kaka mzuri imekuwa nongwa.Mkaka mzuri๐๐๐.
Njoo sasa inbox mrembo tu-arrange 14th February
mbona unachomoa betri mkuu. usifanye hivyo.๐ณ๐ณkuitwa tu kaka mzuri imekuwa nongwa.
Hee sikuji.Baki na 14th February yako
Boom alimtoshi muache tu achepuke...... sema usimpge tenaWanajamvi uzima upo?
Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).
Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?
Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?
Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?
Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.
Nawasilisha!
Nimeshaichomoa tayari๐คช๐คชmbona unachomoa betri mkuu. usifanye hivyo.