Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

utaua Zee Korofi
 
Mkuu hyo mwanamke bado unae kwako?
Au umeshafukuza hyo takataka?

Kama bado unaye hapo nyumbani basi wewe ni zaidi ya bushoke.
 
yani ukiwa na uwezo chuo mademu watakushobokea na kukuletea papuchi kila siku utajiona wewe ndo wewe unapendwa kumbe wapo kwa mission maalum ya kufaulu kupitia wewe.

yani mavyuoni wanawake wako tayari kufanya lolote ilimradi tu wakamate cheti mkononi,wakishamalizaga chuo chuo huwaoni tena na simu utablokiwa kabisa
 
Duuuh! Sio hawa wa siku hizi mzee, mbona wengine vichwa ila hatuwaoni? Hiyo ilikuwa zamani
 

Hizo hela Za Kuku support za toka Kwa jamaa wa Bank, sasa wewe Fala una matatizo Sana!
 
Hahahahahaaaaaaaa
Vumbi la Kibondo[emoji849][emoji849]
 
Sasa pesa si zinatoka benki? Wote nyie ni wanafunzi, ulitegemea nini?
Unampenda huku unamdhuru?!
 
Sasa kama wote mko chuo, hafanyi kazi lakini kwa asilimia kubwa mahitaji yote anatimiza yeye ulidhani anapataje uwezo wa kutimiza mahitaji hayo?
Yani inabidi umuombe msamaha kwa kumpiga sababu ya msg kutoka kwa mlezi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…