Nimempiga mtoto wa mdogo wangu, ndugu wananilaumu lakini Mama ananiunga mkono

Mkuu umefanya vema sana,ila umekosea kidgo...ungemzibua na huyo dadako. Hapo ungekua umetibu kidonda mpk ndani. Pumbaffff zao
 
Asiyefunzwa na mama ye ufunzwa na jombaaaa....Safi sana,,,muokoe huyo mtoto angali mapema,,,ataenda kuwa mjeuri sana
 
Mkuu umefanya vema sana,ila umekosea kidgo...ungemzibua na huyo dadako. Hapo ungekua umetibu kidonda mpk ndani. Pumbaffff zao
Next time wote wawili nawawasha vibao vya haja hasa.....
 
Hapo mwisho nakazia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mambo kama haya n mazuri sana,ila shida kuna dada,mama au shemej zetu ukimchapia mwanae utajua kua hujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa katumia lugha laini sana. Yaani hapo anastahili kupewa Heko maana yaliyokuwa yanatoka moyoni siri yake.
 
Madhara ya hawa watoto huwa yapo kwenye kuambukiza tabia kwa wanao. Hata kuna muda unatamani umsaidie mtu akiwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…