Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Mzee wa kimwekumweku hawezi kukupa hilo panga kwani naye atalitumia kwenye kimwekumweku.Nalihitaji hilo panga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kimwekumweku hawezi kukupa hilo panga kwani naye atalitumia kwenye kimwekumweku.Nalihitaji hilo panga
Hilo ndio lenyewe sasa[emoji3][emoji3][emoji3]Mzee wa kimwekumweku hawezi kukupa hilo panga kwani naye atalitumia kwenye kimwekumweku.
Uko sahihi,hata huyu nimefuatilia nikaona anapatikana kwa sababu humu tu ametoa taarifa za kuanzia,na hata aliyemtupa I believe finger print zipo.Sasa kutokujua haya mambo kunawagharimu wengi na kudhani hao jamaa humu hawamo au hawajui kiswahili ni shida nyingine.Humu ni open source taarifa za awali zinapatikana at no cost,Mshana Jr anayajua haya mambo ila amejifanya kama haelewi.Kutoa information zako bil kuomba ni tatizo linawasumbua wengi.Kuna mtu alifanya uhalifu akajakamatwa kupitia kitabu alichoandika yeye mwenyewe...
Maandishi haya!
🤣🤣🤣 samahani kwani muda wa kutubu ni saa 9 usiku tu au unamanisha nini?Umetenda dhambi. Unatakiwa utubu kwa Mungu wako usiku wa saa9.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Uko sahihi,hata huyu nimefuatilia nikaona anapatikana kwa sababu humu tu ametoa taarifa za kuanzia,na hata aliyemtupa I believe finger print zipo.Sasa kutokujua haya mambo kunawagharimu wengi na kudhani hao jamaa humu hawamo au hawajui kiswahili ni shida nyingine.Humu ni open source taarifa za awali zinapatikana at no cost,Mshana Jr anayajua haya mambo ila amejifanya kama haelewi.Kutoa information zako bil kuomba ni tatizo linawasumbua wengi.
Ushauri mzuri huu. Maana hiyo miguu ya kuku yenyewe inawindwa, ingawa kama una uwezo ni vizuri kuwa nayo.Well done.
Tuzilinde familia zetu. Kama ukiwa huna uwezo wa kumiliki mguu wa kuku jitahidi uwe na shoka (naipa namba moja) na panga.
Self defense ndo uumize karibia kuua mtu aliyekupa mgongo?Kama angekuwa ana assault au amesababisha ameadvance kuelekea alipokuwa labdaAlikuwa na silaha, sheria inaruhusu kujihami. Hata askari wanafundishwa.