Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

Kuna mtu alifanya uhalifu akajakamatwa kupitia kitabu alichoandika yeye mwenyewe...

Maandishi haya!
Uko sahihi,hata huyu nimefuatilia nikaona anapatikana kwa sababu humu tu ametoa taarifa za kuanzia,na hata aliyemtupa I believe finger print zipo.Sasa kutokujua haya mambo kunawagharimu wengi na kudhani hao jamaa humu hawamo au hawajui kiswahili ni shida nyingine.Humu ni open source taarifa za awali zinapatikana at no cost,Mshana Jr anayajua haya mambo ila amejifanya kama haelewi.Kutoa information zako bil kuomba ni tatizo linawasumbua wengi.
 
wezi waliiba vitu vyangu vya msingi kuliko unavo weza kufikiri nimeapa nikija kuta mahali kuna mwizi/kibaka basi petrol + kiberiti lazima vimhusu
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Well done.


Tuzilinde familia zetu. Kama ukiwa huna uwezo wa kumiliki mguu wa kuku jitahidi uwe na shoka (naipa namba moja) na panga.
Ushauri mzuri huu. Maana hiyo miguu ya kuku yenyewe inawindwa, ingawa kama una uwezo ni vizuri kuwa nayo.

Mimi nimechonga baseball bat moja kule mbele imezungushiwa visu, yaani nikipiga ndonga inakata, impact yake ni kubwa, unashika na kupiga kwa kutumia mikono yako miwili.
 
Alikuwa na silaha, sheria inaruhusu kujihami. Hata askari wanafundishwa.
Self defense ndo uumize karibia kuua mtu aliyekupa mgongo?Kama angekuwa ana assault au amesababisha ameadvance kuelekea alipokuwa labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…