Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

Elsa Marie

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
2,385
Reaction score
5,817
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
 
Njegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poa

NB njegere nunua zinazomenywa sasaivi sio zilizomenywa wanachanganyaga na za zamani
 
Ungejihami mapema ili akianza kula ajue ni kitu gani anakutana nacho.

Kuna muuza njegere aliwahi kuniambia za Morogoro ni laini na zinaiva haraka.
 
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.

Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.

Mwachiluwi nipe maujuzi
Njegere ambazo zinaiva ni zile mbichi, zikiwa za kijani na maganda yake. Mara nyingi hazijamenywa. Kama zimemenywa basi zinakuwa na ukijani wake.

Hizo ngumu ukitaka ziive basi yakubidi uvunje vunje, kuzigawa katikati. Zenyewe hutumika sana kama mbegu.

Tukiachana na kelele basi uwe mstahimilivu hapo baadae. Njegere ngumu zina ushuzi unaonuka haswa. Wahi kulala, ili mwenzako akiachia mabomu, basi wewe upo dunia ya saba.
 
Njegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poa

NB njegere nunua zinazomenywa sasaivi sio zilizomenywa wanachanganyaga na za zamani
Maana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juzi
 
Njegere ambazo zinaiva ni zile mbichi, zikiwa za kijani na maganda yake. Mara nyingi hazijamenywa. Kama zimemenywa basi zinakuwa na ukijani wake.

Hizo ngumu ukitaka ziive basi yakubidi uvunje vunje, kuzigawa katikati. Zenyewe hutumika sana kama mbegu.

Tukiachana na kelele basi uwe mstahimilivu hapo baadae. Njegere ngumu zina ushuzi unaonuka haswa. Wahi kulala, ili mwenzako akiachia mabomu, basi wewe upo dunia ya saba.
Asante kwa ushauri nitazingatia😃
 
Back
Top Bottom