Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
- Thread starter
- #21
Kama unachemsha mahindi mabichi. Magadi yanaongeza ladha na kufanya yaive harakaMahindi tena mnaweka magadi
Kama unachemsha mahindi mabichi. Magadi yanaongeza ladha na kufanya yaive harakaMahindi tena mnaweka magadi
sasa njegere leo zitafanya uwe muongeaji...😂Mimi mkimya sana rafiki
Hii mbinu mpya sikufahamu. Thanks.Itabidi uweke magadi sasa 😁
Wala😃sasa njegere leo zitafanya uwe muongeaji...😂
wafundishe hawa akina Abigail wanatuwekea chumvi na blueband kwenye ugali...🤣Mahindi tena mnaweka magadi
Una uhakika umewasha moto?Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
radha ya hindi inPoteaKama unachemsha mahindi mabichi. Magadi yanaongeza ladha na kufanya yaive haraka
Chemsha tena baada ya kuweka kijiko kimoja cha sukari, utakuja kunipa zawadiIpo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Blueband kwenye ugali ni sawa kabisa ugali unakuwa laini wa kuvutia.wafundishe hawa akina Abigail wanatuwekea chumvi na blueband kwenye ugali...🤣
Instrovert kenzy kawazoea wanadamu anawanyosha.nasalimia tuakitaka kukudunda mwambie ule usemi wenu wa mwanamke hapigwi anapigwa kwa upande wa kanga!..
halafu urudi jukwaani na picha mnato tuone ni meno mangapi hayapo tukuchangie yakawekwe meno ya akili mnemba!.
Njegere kavu ndo mtihani zaidi sasa na zina ukorofi sana. Huko Usukumani Ntuzu kuna njia mbalimbali ambazo nimeshaziona zikitumika ili kuepusha shari (Japo sina uhakika kama njegere ndiyo nduulu)Ungejihami mapema ili akianza kula ajue ni kitu gani anakutana nacho.
Kuna muuza njegere aliwahi kuniambia za Morogoro ni laini na zinaiva haraka.
Duh hii ngeni sisi kwetu ilikuwa mama anachemsha anaweka chumvi tu usiku ana mwaga kwenye sinia mnaanza kula uku story zinaendelea sasa hii mpya magadiwafundishe hawa akina Abigail wanatuwekea chumvi na blueband kwenye ugali...🤣
Njegere zenyewe hazikuwa nyingi, ukiweka sukari huo utamu wake hautaharibu ladha ya njegere?Chemsha tena baada ya kuweka kijiko kimoja cha sukari, utakuja kunipa zawadi
Uti nenoMwachiluwi kamaliza💯💯
Kama ni aina ya wanaume wanaoongea maneno hawamalizi kazi unayo 😁.Ana gubu leo siwezi hata kumsemesha😃.
Sasa hadi ujue ni za morogoro hapo kazi ipo
Hapana ugali mtamu vile vile usiweka blueband kabisa af ugali wa maindi mapya ni mtamu zaidiBlueband kwenye ugali ni sawa kabisa ugali unakuwa laini wa kuvutia.
Nashangaa mlivyomponda Abigail Chams kumbe nyie ndo hamjui maujuzi. Alikuwa sahihi
We msukuma., nazungumzia zile njegere mbichi za kijani. Sio hizo za kukausha...Nilitegemea jibu la kina zaidi linalohusisha mambo ya kitamaduni tamaduni hivi 😂
Anyway. Njegere zina ukorofi sana na huko Usukumani Ntuzu kuna njia mbalimbali ambazo nimeshaziona zikitumika ili kuepusha shari (Japo sina uhakika kama njegere ndiyo ndulu)
1. Unaweza ukazikaanga kabla ya kuzipika hasa kama zimekaa muda mrefu. Unazikaanga kavu kavu tu bila mafuta ukiona zimepata moto ndo unazipika. Nusu saa tu zishasalimu amri na hakuna hata moja itakayogoma kuiva.
2. Mpe mtoto wa kike chini ya miaka mitano ndiyo aziweke chunguni. Kama ni zile ngangari zimekaa zaidi ya miaka miwili-mitatu hivi ni lazima awe uchi anapoziweka chunguni. Unaambiwa eti zoooooteee zitaiva chap.
3. Tumia mkono wa kushoto wakati wa kuziweka chunguni. Na unapoziweka usiongee 😳
Kwangu mimi njia ya kwanza tu ndiyo angalau inaeleweka. Njia 2-3 sijui zinavyofanya kazi lakini ukiongea na wenyewe wanawake watakuapia kuwa njia hizo ni konki na hazina kupoteza muda kama hiyo ya kwanza.
Wabeja 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️