Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Njegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poaIpo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Ungejihami mapema ili akianza kula ajue ni kitu gani anakutana nacho.Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Njegere ambazo zinaiva ni zile mbichi, zikiwa za kijani na maganda yake. Mara nyingi hazijamenywa. Kama zimemenywa basi zinakuwa na ukijani wake.Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Maana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juziNjegere kuto kuiva kunatokana na njegere kukaa mda mrefu nunua njegere zile zenye ukijani kabisa ulio ivia hizi za kijan kama mpauko ni shida haziivag pia nasikiaga ukiweka mafuta wakat wa kuchemsha zinakuwa poa
NB njegere nunua zinazomenywa sasaivi sio zilizomenywa wanachanganyaga na za zamani
Anidunde kwa kosa ganiakitaka kukudunda mwambie ule usemi wenu wa mwanamke hapigwi anapigwa kwa upande wa kanga!..
halafu urudi jukwaani na picha mnato tuone ni meno mangapi hayapo tukuchangie yakawekwe meno ya akili mnemba!.
mbona hata hili swali tayari ni kosa...Anidunde kwa kosa gani
Ana gubu leo siwezi hata kumsemesha😃.Ungejihami mapema ili akianza kula ajue ni kitu gani anakutana nacho.
Kuna muuza njegere aliwahi kuniambia za Morogoro ni laini na zinaiva haraka.
Makosa ni ya njegere na sio mimi. Kama vipi aingie yeye jikoni kama ni jambo rahisimbona hata hili swali tayari ni kosa...
kutokujua kosa ni kosa dada!, kwahiyo unajifyatua kuwa hujanipikia njegere ngumu...?🤣🤣
Asante kwa ushauri nitazingatia😃Njegere ambazo zinaiva ni zile mbichi, zikiwa za kijani na maganda yake. Mara nyingi hazijamenywa. Kama zimemenywa basi zinakuwa na ukijani wake.
Hizo ngumu ukitaka ziive basi yakubidi uvunje vunje, kuzigawa katikati. Zenyewe hutumika sana kama mbegu.
Tukiachana na kelele basi uwe mstahimilivu hapo baadae. Njegere ngumu zina ushuzi unaonuka haswa. Wahi kulala, ili mwenzako akiachia mabomu, basi wewe upo dunia ya saba.
mpaka hapo unakofi la mgongo!.. halafu yaonyesha we unakakiburi na ni muongeaji sana...🤣Makosa ni ya njegere na sio mimi. Kama vipi aingie yeye jikoni kama ni jambo rahisi
Ooh sikujua kama magadi yanaweza wekwa kwenye njegere. Nimezoea kwenye makande na mahindi ya kuchemshaWeka magadi zitalainika tu
Ngoja baadae uone napika pilau la njegereMaana nimezikuta tu sehemu nikanunua. Inawezekana zimemenywa juzi
Mimi mkimya sana rafikimpaka hapo unakofi la mgongo!.. halafu yaonyesha we unakakiburi na ni muongeaji sana...🤣
Mahindi tena mnaweka magadiOoh sikujua kama magadi yanaweza wekwa kwenye njegere. Nimezoea kwenye makande na mahindi ya kuchemsha
Sawa sawaNgoja baadae uone napika pilau la njegere