Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You deserve that mkuuThank you all for compliment.
you deserve that mkuu
Sure ulifanya vyema.Asante, nadhani ni vile hii kitu inagusa maisha.
Kwa hiyo ni kujaribu kutoa ushauri ambao unaweza kusaidia.
sure ulifanya vyema.
hii kitu sio ya mchezo japo kama imezoeleka sana siku hizi
Hakika agenda yao ni kubwa na ubaya uliopo kwa sasa watu tumesahau kabisa kama kuna ukimwi,, tumeona ni jambo la kawaida na hapo vizazi vijavyo vitakuwa katika wakati mgumu sana kwani hata sasa hakuna anaetangaza kuwa ukimwi ni janga la Taifa. Tumekita kwenye Corona na mambo mengine na tukajisahau.Ni agenda ya wazungu hii.
Back then kulikuwa na kampeni nyingi sana redioni na kwenye TVs za kupambana na HIV, njia za kujikinga na kuepuka kuambukizwa zikiwa zinatajwa mara kwa mara. There was positive responses na maambukizi yalianza kupungua.
Jamaa kuona hivyo upepo ukabadilika, ikawa sasa ni kampeni za kuto nyanyapaana, kampeni za kujifunza kuishi na virusi, kampeni za kwamba HIV siyo mwisho wa maisha etc etc.
Why this? Ni kwa sababu ikitokea tukawa free of these deseases, tutapunguza dependence kwao, imagine wanatoa a lot of money ku-finance HIV kupitia mashirika kama USAID, Danida, DFiD nk nk, unadhani wanafanya bure? Kuna namna wanafaidika, na watataka tuendelee kuwategemea, hivyo wamefanya kutuzoesha kwamba huu ni ugonjwa wa kawaida.
Ushauri wangu Taifa lingekuwa linaweka kipindi maalumu cha kuelimisha kuhusu hili kwenye redio na tv ya Taifa
Huuuh we are doomed.PSI ndo NGO inayojihusisha na swala la uelimishaji kuhusu ukimwi.
Lakini sasa ni kama hawatakiwi kutangaza kujikinga na ukimwi bali wanatangaza jinsi ya kuishi nao.
Na hawa jamaa kwa kushirikiana na JHPiego (nao ni USAID funded) ndo wasambazaji wa sindano kwa mateja, vilainishi kwa mashoga nk, you can just see what they are aiming at.