Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sasa mkuu unasema kuna upotoshaji weww ulikuepo hiyo siku??Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii story mkubwa mnoo kuna vingi ameficha nilipitia hii hali hata mimi ya demu mwenye changamoto hiyo ila alikua nao ila alikua anatumia dawa mda mrefu sasa doctor wake anapochukua dawa alimwambia unaweza fanya sex na mtu usimuambukize cha muhimu usichubuke kwa kujiandaa vyema nilipita nae kavu baada ya mtu kunitonya kua hebu mpime nilipompima akawa positive ndo kusema ukweli nilijua na mimi nimeshaukwaa ila Mungu ni mwema nilipima mara tatu hakuna kitu nipo negative nilichokuja kujifunza ukimwi unapatika kana kwa michubuko mpaka blood transfusion iwepo. Na ile michezo ya kumkomoa mwanamke sijui upige mbususu mpaka itoe moto ndo safari ya ukimwi unaipata
Demu wa jamaa na wako ni tofauti, wewe sio huyu mtoa mada, nadhan hata hamfahamiani iweje umshambulie namna hiyo