Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hapo ulikua hujalewa sana shukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo mzigo ulikula au vp na je kama hukula hakukuuliza kwamba why umpime halafu usilambe mbususu?
unajifariji Mkuu tayari umeukwaa,ulevi na uzinzi ni hatar sana
Kabla sijatoa maoni yangu ningependa kumuuliza mleta mada kuwa ana utaalamu wowote wa hicho alichokifanya au ametumia uzoefu tu......???
Bado angeshtuka tu maana hukuendelea na zoezi la kumgegeda. Lengo la kupima ilikuwa ufanye peku sasa na wewe ulisitisha mgegedo ndio hapo machale yangemcheza kulikoni huyu mtu hanifanyi chochote baada ya vipimo.Kiongozii, Alipima akijiamini na alitakaa mm nimuamini, hakuwa anataka kujua majibu yake, yy anasema alipima wiki mbili zilizopita so alitaka mm niamini na mm nlivompimaa sikuonesha mshangao wwte nikmwambia uko sawaa ndomana hajahojii
Hicho kipimo kuna muda ukizidi kina chora na mistari 2 yawezekana daktari ww utakuwa chenga.
wewe vyako vinasomaje? umejichecki mara ngapi?Habari za Muda Huu Waungwana,
Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa nikampeleka kwangu usiku huku tukiwa tumelewa, Ilipofika muda wa kunjunjana nikataka kuvaa kondomu akasema anaogopa ataumia.
Nikamwambia basi nikupime kwanza maana vipimo ninavyo, akacheka akasema mimi ni mwanaume wa 4 kwake hana historia ndefu then akasema wiki mbili zilizopita aliumwa akaenda kuchek ngoma akakutwa hana, lakini akasema kama nataka kuhakikisha basi nimpime.
Akawa hana wasiwasi kabisaa, me nikampima then mzigo ukasoma positive, hapa nikatumia ujanja kumficha ili asijue, niliogopa angejisikia vibaya. Basi nikazuga zuga mpaka tukalala, asubuhi nikampa nauli akasepa.
Sasa Nachoomba mnisaidie ni Je nimueleze kuwa yeye ni HIV positive au nimpotezee maana nakutana nae sana mtaani huku.
Anafanya kazi katika bar ya mtaani.
Natamani kumueleza ukweli lakini nashindwa.
Je, nifanyeje?
AahahahahaHicho kipimo kuna muda ukizidi kina chora na mistari 2 yawezekana daktari ww utakuwa chenga.
Barmaid yupo vizuri huyo we piga mzigo tu.
Hivi vipimo wala haviuzwi mtaani wala Hospitali. Vimeandikwa 'Not for sale'. Huyo Nesi labda angekupa vipimo viwili tena bure, kisha akupe maelekezo yakutosha. Sasa amekuuzia Box zima ni dhahiri wenye majukumu yao wakisoma huu ushahidi wako watakutafuta ili wewe na huyo Nesi muingie matatani.Hv vipimo nlinunua box zima kwa nesi, akanielekeza jinsi ya kupima, mbali na apo sina uzoefu mwingine
Kutokea Tanga....Nakushauri umsaidie kumieleza kwa sababu, itasaidia asiendelee kuambukiza wengine, na kama ataendelea hivyo bila kumieleza italuwa kama ni kosa lako akiendelea kueneza kwa wengine.
Habari za Muda Huu Waungwana,
Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa nikampeleka kwangu usiku huku tukiwa tumelewa, Ilipofika muda wa kunjunjana nikataka kuvaa kondomu akasema anaogopa ataumia.
Nikamwambia basi nikupime kwanza maana vipimo ninavyo, akacheka akasema mimi ni mwanaume wa 4 kwake hana historia ndefu then akasema wiki mbili zilizopita aliumwa akaenda kuchek ngoma akakutwa hana, lakini akasema kama nataka kuhakikisha basi nimpime.
Akawa hana wasiwasi kabisaa, me nikampima then mzigo ukasoma positive, hapa nikatumia ujanja kumficha ili asijue, niliogopa angejisikia vibaya. Basi nikazuga zuga mpaka tukalala, asubuhi nikampa nauli akasepa.
Sasa Nachoomba mnisaidie ni Je nimueleze kuwa yeye ni HIV positive au nimpotezee maana nakutana nae sana mtaani huku.
Anafanya kazi katika bar ya mtaani.
Natamani kumueleza ukweli lakini nashindwa.
Je, nifanyeje?
Nakushauri mchukuane wote mwende mkapime tena hospitalHabari za Muda Huu Waungwana,

Labda kama hana utimamu wa akili kichwani, yaani umpime mtu kwa lengo la kumpandisha mlima halafu uzidiwe na pombe, kisha asubuhi umshiti halafu jioni hukumtafuta,Sikula mzgo nlimwambiaa nmelewa sanaa tutafanya asubuh, nikamkumbatiaaa akalala kifuani mpaka asubuh...ilivofika asbh tukawa tumechelewa kuamkaa akasema anawah kazn atarud badae