Pole bro & familiaNimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana kijana, pole sana familia...Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana mkuu,mtumaini Mwenyezi MunguNimempoteza baba yangu mzazi