Samari;
-alikuwa na mpenzi mcha Mungu hivyo alimwamini sana
-alimtunza kwa kila hali yeye na bibi yake
-kuna siku akapata safari kwende Bukoba kuokoa wahanga wa tetemeko
-Akiwa kule akapokea txt toka kwa shem yake yaani rafiki wa mchumba kuwa achana na huyu dada anakucheat kila mara na rafiki yako na muda huu wako lodge
-jamaa akakumbuka asubuhi aliombwa pesa kuwa binti mgonjwa anaenda cheki afya na alimpa 50k.
-ili kujirishisha alipiga simu papo hapo haikupokelewa mara ikazimwa kabisa.
- kwa ushahidi zaidi akarushiwa chat zao za mahaba..
--Jamaa aliporudi hakumtafuta mchumba wala rafiki yake wa kiume wanayepeana utamu.
Akabadili nyumba ya kupanga na simu wakapotezana mazima.
- huku wao mahaba ndindi mara mimba...binti hakuolewa bali jamaa akaoa mwingine.
ALICHOFANYA mleta uzi alimtafuta mke wa jamaa kupitia fb..akawa anampa visenti mwishowe akamla.
*****jamaa ndipo aliposamehe alichofanyiwa na rafiki yake...lkn binti kachoka kachakaa..
Toa komenti sasa