Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo ni mke wa mtu tambua....hiyo subiri subiri itakufanya uliwe kibogaMkuu nipo napiga mechi zangu za mwisho mwisho kisha namwachia jamaa zigo lake as I said hapo juu Toto linahamasisha kweli kweli kila nikitaka kulikimbia nikikumbuka majambozi yake na na lile joto lake nakuwa mpole najisemea kimoyo moyo ngoja nilifaidi faidi kwanza
heee! sio mchezo😤😤Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.
Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.
Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.
Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.
Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.
Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.
Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.
Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.
Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
Ktk maisha yako yote ya hapa dunia usije ukamfanyia mgoni wako utakuja kufungwa kifungo cha miaka 30 au maisha na mkeo atabaki uraiana na atagongwa na atazalishwa. Km ukimfuma jamaa mpige ngumi za kumuadhibu au uwasamehe.chunga marinda yako
Hahaa WW3,..coming soonBado hujafuta maumivu na isitoshe rafiki yako hajui kama umemgongea mkewe,ukitaka naye aumie kama ulivyoumia mtumie picha za mkewe unamtafuna na screen shot za messages umwambie hivi Malipo ni hapa hapa duniani Msenge mkubwa sitaki tena urafiki na wewe!
hahaha Mkuu una vitisho wewe
Wewe mtu gani " unalipa kisasi huku una huruma huruma ... kama jamaa yako huyo bado hajajua kwamba umemtafuna mkewe ..basi hapo bado haujalipa kisasiAise lengo lilikuwa hilo lakini roho ya huruma juu ya huyu binti imeniingia kwamba nisimuharibie. Na jamaa kutwa kumpost mke wake km mc pilipili anavyofanya na caption nyingi asante mungu kwa kunipatia mke mwema na bla bla nyingi, right angejua huku nyuma ya pazia,hakika nikiamua nijibu makonde aliyonipiga dunia hii kwake ataiona chungu kwl kwl.
Ahaha vitisho tena !? Mke ana uma kama vile Uchunwe ngozi huku ukiwa haihahaha Mkuu una vitisho wewe
vipi mnaeendelea kulana au ndo mwishooooKatika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.
Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.
Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.
Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.
Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.
Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.
Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.
Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.
Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
Ila kumbuka kuna cyber crime kwahiyo atafute namna ya kumuonesha kuwa amemega kuliko kumtumia picha za utupu wa mke wa jamaa.Amtumie picha ya wapo pamoja bichi au chumbani wamevaa nguo au amembusu shavuni. Hii ndiyo dawa ya kumegewa. wale wa kumlawiti mgoni wako utaishia jeraWewe mtu gani " unalipa kisasi huku una huruma huruma ... kama jamaa yako huyo bado hajajua kwamba umemtafuna mkewe ..basi hapo bado haujalipa kisasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kumegewa tunda la mkeo au mtu unae mpenda kwa dhati inauma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadharia hi inaweza elezea kidogo concern yako
" humu jf japo tunatumia ID bandia ila over time ID hizi zinatengeneza personality yetu....... Hivyo watu/member wa muda mrefu huogopa kulete nyuzi/mada flani ambazo zinawagusa/emotional Sana hivyo huandikisha ID mpya, ndio maaana unawezaona ID mpya ila mtu anavyoleta mada/uzi inaonyesha KABISA huyo ni mzoefu jf"
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaKatika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.
Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.
Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.
Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.
Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.
Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.
Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.
Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.
Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
AiseeID ya matukio hii
Amejoin 2015 hadi sasa hajafikisha hata messeges 50
Ila bado hujalipiza kisas maana kama n kulipiza na yy inabid ajue umemla mkewe otherwise ukubal hujalipa kisas afu inabid utunze kumbukumbu kama mapchaKatika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.
Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.
Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.
Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.
Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.
Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.
Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.
Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.
Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
nawe pia ungeandika zaidi ingependeza sana mkuu