Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Na wewe mwanaume wa kweli hapendi mwanamke...na lazima atakuwa anagegeda nje ...ukikaa na mkeo tuu utakuja lilia kwa choo. Hao kugawa papuchi sio ishu
Ndio maana Mimi nitachelewa sana kuoa, tokea nilivyomegewa nimekuwa kuwa muoga sana kujiingiza.
 
Nijibu hili swali.
Sawa huyo Dada kazalishwa but inaonekana bado yupo moyoni mwako
Je why usimrudie?? Naona kama bado wampendaaaa.(mbona nyie mkifanya hayo huwa mnasamehewa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Maishani mwangu siku zote nilikuwa sijawahi penda haswa haswa Mara nyingi huwa natamani( matamanio ya kimwili) lakini kwa huyu binti nilitokea kumpenda tokea moyoni haswa haswa ndomana siwezi msahau, labda siku ikatokea nimempata mwingine ntayempenda kwa dhat tokea moyoni at least taswira yake ndo inaweza jaribu futika. Alishaniomba msamaha yakaisha though nilimwambia hatuwez kuwa pamoja tena. Kwa sasa sina hisia nae mtu wa dizaini hii anayetembea na rafiki yko wa karibu hashindwi kuja kutembea hata na ndugu yako wa damu. Fanya makosa yote wanaume wengi watasemehe lkn kosa la kugongewa na akathibitisha huwa ni ngumu kumeza Mkuu.
 
Nijibu hili swali.
Sawa huyo Dada kazalishwa but inaonekana bado yupo moyoni mwako
Je why usimrudie?? Naona kama bado wampendaaaa.(mbona nyie mkifanya hayo huwa mnasamehewa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sii upuuzi wenu wenyewe kwa kusamee....huo ujinga wanaume hatunaga. Wewe mandela aliwasamehe makaburu waliomuweka ndani miaka 27 lakini alipo gundua winnie kagawa papuchi hakusamehee. Tafakari hilo kwanza
 
Ndio maana Mimi nitachelewa sana kuoa, tokea nilivyomegewa nimekuwa kuwa muoga sana kujiingiza.
Wala usiwe na presha kaka ya kuoa....wanawake wamejaa tele wee tuwagegede kwanza muoa kitu gani kudanganyana tuu
 
Hivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
hiki ni kisasi kizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemtia na mimba kabisa mwenzako alitia na mimba wako bado ujamla vzr tia mimba jombaa

121.
 
Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.

Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.

Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.

Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.

Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.

Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.

Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.

Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.


Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
Mwanangu wewe ni shetani
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhhhh..........
 
Mwambie Nikikutana nae nitampiga sana mangumi[emoji23][emoji23][emoji23]!
Jmn ameona njia sahihi ya yeye kuishi kwa amani ni kulipiza kisasi cha amani na ameweza...kosa liko wapi?[emoji1787][emoji1787]
 
Jmn ameona njia sahihi ya yeye kuishi kwa amani ni kulipiza kisasi cha amani na ameweza...kosa liko wapi?[emoji1787][emoji1787]
Jmn ameona njia sahihi ya yeye kuishi kwa amani ni kulipiza kisasi cha amani na ameweza...kosa liko wapi?[emoji1787][emoji1787]
Hakuna kosa ebu acha mambo yao tuwaachie wenyewe!!
 
Back
Top Bottom