Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Kiukweli hata kama ningekua mm lazma ningehakikisha jamaa anajua....haina maana ya kulipiza kisasi alafu adui yako asijui kama umelipiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itakuja kukucost.....pora upoge revange moja kubwa and let your enemy knows then sepa mazima na huyo mke wake achana nae mazima kuliko kuendelea kula kimya kimya....siku jamaa akianza kumtrace mkewake then akajua ni ww atakutafutia siku atakufumaniwa na atakufira na wahuni....then who atakua kafaidi? Zaidi utakua umelose pakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo napiga mechi zangu za mwisho mwisho kisha namwachia jamaa zigo lake as I said hapo juu Toto linahamasisha kweli kweli kila nikitaka kulikimbia nikikumbuka majambozi yake na na lile joto lake nakuwa mpole najisemea kimoyo moyo ngoja nilifaidi faidi kwanza
 
Hivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie hata comment au pm huwa inanifanya nipitie profile ya mtu kwanza[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Yaani hapo mtoa mada imekula kwako. Wenzako walikulana kwa raha zao ila wewe unamkula mke wa classmate wako ili kulipa kisasi sio kwa raha. Kisasi siku zote umuumiza mtu anayekitunza kuliko mtendewa wa kisasi. Pole sana kwa unayoyafanya unaumia wewe tu
Na huu ndio ukweli.
 
Huyu jamaa alinifanyaga ni kila kijiko kimoja nijihisi nimeshiba, nikilala nisipate usingizi,hata kuangalia mechi ya chama langu pendwa la arsenal nikawa nashindwa, tena ashukuru namlia kimya kimya sijataka ye ajue labda kitachokuja kumponza na choko choko zakutaka kuanzia Ku mtrace mke wake
Kwakua unashabikia Arsenal nakuunga mkono rasmi.
 
Kwakua unashabikia Arsenal nakuunga mkono rasmi.
Si unajua sisi mashabaki wa arsenal tulivo wavumilivu nimemvumilia kwa mda wa miaka 3 jamaa akajua nimeshapotezea kumbe namlia timing tu, kule EPL kwa malikia tuteseke hata kwenye maswala haya pia dawa ya moto ni moto tu
 
Kama kawaida na akizingua huyo jamaa na yeye mtokee mmege vilevile.
 
Huyu jamaa alinifanyaga ni kila kijiko kimoja nijihisi nimeshiba, nikilala nisipate usingizi,hata kuangalia mechi ya chama langu pendwa la arsenal nikawa nashindwa, tena ashukuru namlia kimya kimya sijataka ye ajue labda kitachokuja kumponza na choko choko zakutaka kuanzia Ku mtrace mke wake
Ufala + Ufala + Ufala
 
Nimeshasema apo juu Mkuu tokea siku ile bi Dada aamue nitunuku, nikaamua kumsamehe tokea moyoni yule jamaa.ndomana hata thread inajieleza kabisa kuhusu msamaha wangu kwa jamaa.
So point ni kwamba umetunukiwa hujalipiza?
 
2pac anakwambia baada ya papuchi kinacho fata kwa utamu ni kisasi

hongera mkuu kwa kupata top 2 ya vitamu duniani.
 
Back
Top Bottom