Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadharia hi inaweza elezea kidogo concern yakoHivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.[emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mkuu hii sio chai, Dada sasa yupo kwao mikoa ya nyanda za juu kusini alienda salimia kwako, anadai nimtumie nauli apitie kwangu siku mbili tatu ndo aingie kwa mmewe
Sure! Kweli kabisa.Nadharia hi inaweza elezea kidogo concern yako
" humu jf japo tunatumia ID bandia ila over time ID hizi zinatengeneza personality yetu....... Hivyo watu/member wa muda mrefu huogopa kulete nyuzi/mada flani ambazo zinawagusa/emotional Sana hivyo huandikisha ID mpya, ndio maaana unawezaona ID mpya ila mtu anavyoleta mada/uzi inaonyesha KABISA huyo ni mzoefu jf"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha halafu anayo ya kawaida eeh[emoji23][emoji23].ID ya matukio hii
Amejoin 2015 hadi sasa hajafikisha hata messeges 50
Wewe ulimpataje wenzako washindwe kumpata. Kama wameweza kufanya uasherati na wewe kwanini asifanye na wengine?
Kwa iyo mkuu uyo shemeji si bado unamla kama kawaida ila nimeamini dawa ya moto ni motokatika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana!!! wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima. Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.
Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.
Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flan na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital, basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao. Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.
Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.
Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.
Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
Jf Ni jamii na watu/members wanafahiana japo Ni kwa hizihizi fake ID, lakini zinauharisia/personality Fulani ya muhusika kwa members wa muda mrefuSure! Kweli kabisa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hata ya cute b ina uhalisia mkuu au ni mfano tuu[emoji6].Jf Ni jamii na watu/members wanafahiana japo Ni kwa hizihizi fake ID, lakini zinauharisia/personality Fulani ya muhusika kwa members wa muda mrefu
Mfano; Mshana Jr, Cute b, Faiza foxy, laiza bon, Nyani Ngabu na etc ID zote hizi zina personality flani hizi hata mchango/comments yao, au nyuzi zao, mitazamo yao kisiasa inajulikana humu(japo hatuwajui)....
"So sometimes people go undercover within undercover"
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeeeh ndo hivyo sasa,yaaaani ID yako ishakuwa n kaupersonality flani HIVI.......Hahahha halafu anayo ya kawaida eeh[emoji23][emoji23].
Hivi mbona watu hawataki kuharibu brand zao za I'd zao za kawaida.[emoji23][emoji23].
Mfano Mimi piga UA japo ninatumia fake I'd na sijulikani na watu huku siwezi leta pumba aisee. Naogopa sana.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
aiseh basi sawaMkuu hii sio chai, Dada sasa yupo kwao mikoa ya nyanda za juu kusini alienda salimia kwako, anadai nimtumie nauli apitie kwangu siku mbili tatu ndo aingie kwa mmewe
Huyu jamaa alinifanyaga ni kila kijiko kimoja nijihisi nimeshiba, nikilala nisipate usingizi,hata kuangalia mechi ya chama langu pendwa la arsenal nikawa nashindwa, tena ashukuru namlia kimya kimya sijataka ye ajue labda kitachokuja kumponza na choko choko zakutaka kuanzia Ku mtrace mke waked
duh... mamame kweli unakula bumunda la rafiki
Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi chafua ID yangu kizembe. Na nikileta kitu ni kweli siyo chai.Umeona eeeeeh ndo hivyo sasa,yaaaani ID yako ishakuwa n kaupersonality flani HIVI.......
so siku ukitaka kulete mkorogo unaandikisha ID ingne japo hata hii ya cute b Ni fake hatukujui kiuharisia mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkewe wa ndoa atagongwa maisha yatupasa kutenda wema maana kila ulitendalo na wewe litakurudia ukitenda mema utavuna mema, kisasi ni kibaya na hurudi Mara nyingi,ndo ile huitwa karma,sasa ngoja aje awekewe mtego wamfanyie mbaya sehemu za siri hazikomolekiKwa iyo mkuu uyo shemeji si bado unamla kama kawaida ila nimeamini dawa ya moto ni moto
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅Hahahha halafu anayo ya kawaida eeh[emoji23][emoji23].
Hivi mbona watu hawataki kuharibu brand zao za I'd zao za kawaida.[emoji23][emoji23].
Mfano Mimi piga UA japo ninatumia fake I'd na sijulikani na watu huku siwezi leta pumba aisee. Naogopa sana.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ni kweli kwenye maisha yatupasa kusamehe hapo waitane kila mtu aeleze ya moyoni akili makosa yake maisha yaendelee mana ukila cha mtu nawe chako kitaliwa sema kuna kitu nimejifunza hutakiwi kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa uyu ni mdada alikuwa na mtu wake anampenda sana akaona amsaliti matokeo yake jamaa kampiga chini kwa sasa ni single momNa mkewe wa ndoa atagongwa maisha yatupasa kutenda wema maana kila ulitendalo na wewe litakurudia ukitenda mema utavuna mema, kisasi ni kibaya na hurudi Mara nyingi,ndo ile huitwa karma,sasa ngoja aje awekewe mtego wamfanyie mbaya sehemu za siri hazikomoleki
Sent using Jamii Forums mobile app