Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kitu nilichogundua ni kuwa hata kama mtu amekusaliti vipi muda unakuwa unaponya kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hafu ujue kosa tutendalo huwa twalipiza kisasi mtu ametenda jambo baya mwite ongeeni ya moyoni ombaneni msamaha utqshangaa moyo unakuwa mweupe kisasi huumiza,na maisha haya for every action kuna equal reaction lazima ile kwako. Pia watu wawe waaminifu kwa wenza wao. Ona sasa Dada ni single mom mchepuko kaoa naye mkewe hatulii na hapo kakutana na jamaa hamjui jee wanaume wanaohonga. Karma is a bitch walahNi kweli kwenye maisha yatupasa kusamehe hapo waitane kila mtu aeleze ya moyoni akili makosa yake maisha yaendelee mana ukila cha mtu nawe chako kitaliwa sema kuna kitu nimejifunza hutakiwi kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa uyu ni mdada alikuwa na mtu wake anampenda sana akaona amsaliti matokeo yake jamaa kampiga chini kwa sasa ni single mom
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana kabisa mkuuKitu nilichogundua ni kuwa hata kama mtu amekusaliti vipi muda unakuwa unaponya kila kitu
Kitu nilichogundua ni kuwa hata kama mtu amekusaliti vipi muda unakuwa unaponya kila kitu
Mimi sijawahi tamani wake ama girl friendz wa rafiki zangu, huwa nawaheshimu sana!!! Lakini huyu mtu why alitembea na mtu anayejua Mimi Niko naye!!! Aise Mkuu hii kitu ilinitesaga sana kwa yule Dada nilikuwa nimewekeza sana kuanzia nafsi na kila kitu. Najua nimefanya makosa sana namimi naona haya ndo malipo yake stahiki. Mkuu ina uma sana kuchapiwa na hasa na mtu uliyekuwa ukiishi nae kama ndugu hakika kwangu yule alikuwa ni mnyama namimi ndomana nimeuweka utu pembeni nine amua kuwa mnyama.Na mkewe wa ndoa atagongwa maisha yatupasa kutenda wema maana kila ulitendalo na wewe litakurudia ukitenda mema utavuna mema, kisasi ni kibaya na hurudi Mara nyingi,ndo ile huitwa karma,sasa ngoja aje awekewe mtego wamfanyie mbaya sehemu za siri hazikomoleki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema namuonea sana huruma uyo single mom washikaji wote wameoa kabaki njia panda hajui cha kufanya mwisho wa ubaya ni aibu uzi umetupa somo fulaniKweli hafu ujue kosa tutendalo huwa twalipiza kisasi mtu ametenda jambo baya mwite ongeeni ya moyoni ombaneni msamaha utqshangaa moyo unakuwa mweupe kisasi huumiza,na maisha haya for every action kuna equal reaction lazima ile kwako. Pia watu wawe waaminifu kwa wenza wao. Ona sasa Dada ni single mom mchepuko kaoa naye mkewe hatulii na hapo kakutana na jamaa hamjui jee wanaume wanaohonga. Karma is a bitch walah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana inauma sana mimi binafsi huwa kwenye maisha yangu sijawai kutembea na mwanamke ambae najua fika kabisa anatoka na nani kiukweli huwa sina nyege kabisa demu wa rafiki yangu siwezi lakini kuna mijitu kazi yao kuvizia mademu wa washikaji zao hii ni hatar sanaMimi sijawahi tamani wake ama girl friendz wa rafiki zangu, huwa nawaheshimu sana!!! Lakini huyu mtu why alitembea na mtu anayejua Mimi Niko naye!!! Aise Mkuu hii kitu ilinitesaga sana kwa yule Dada nilikuwa nimewekeza sana kuanzia nafsi na kila kitu. Najua nimefanya makosa sana namimi naona haya ndo malipo yake stahiki. Mkuu ina uma sana kuchapiwa na hasa na mtu uliyekuwa ukiishi nae kama ndugu hakika kwangu yule alikuwa ni mnyama namimi ndomana nimeuweka utu pembeni nine amua kuwa mnyama.
Mimi sijawahi tamani wake ama girl friendz wa rafiki zangu, huwa nawaheshimu sana!!! Lakini huyu mtu why alitembea na mtu anayejua Mimi Niko naye!!! Aise Mkuu hii kitu ilinitesaga sana kwa yule Dada nilikuwa nimewekeza sana kuanzia nafsi na kila kitu. Najua nimefanya makosa sana namimi naona haya ndo malipo yake stahiki. Mkuu ina uma sana kuchapiwa na hasa na mtu uliyekuwa ukiishi nae kama ndugu hakika kwangu yule alikuwa ni mnyama namimi ndomana nimeuweka utu pembeni nine amua kuwa mnyama.
Wengi huona wivu hawajui jinsi inaumizaMkuu pole sana inauma sana mimi binafsi huwa kwenye maisha yangu sijawai kutembea na mwanamke ambae najua fika kabisa anatoka na nani kiukweli huwa sina nyege kabisa demu wa rafiki yangu siwezi lakini kuna mijitu kazi yao kuvizia mademu wa washikaji zao hii ni hatar sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusikia mwalimu wa kiingereza la 5 B.Grammar is very poor..pole
Sema kumegewa tunda la mkeo au mtu unae mpenda kwa dhati inauma sana
Sema kumegewa tunda la mkeo au mtu unae mpenda kwa dhati inauma sana
Sent using Jamii Forums mobile app