Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Na hapo kaelewa tu basi na yeye aonekane yuko vzuri. Hafu waingereza huwa hawakosoi wasiojua kingereza ila bongo twapenda kukosoana na kuchekana mtu akishindwa badala ya kumsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikir hawajui nini madhumuni ya maeneo aya ni kuelimishana na kusaidiana mambo fulani fulani ila sio kuchekana wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise lengo lilikuwa hilo lakini roho ya huruma juu ya huyu binti imeniingia kwamba nisimuharibie. Na jamaa kutwa kumpost mke wake km mc pilipili anavyofanya na caption nyingi asante mungu kwa kunipatia mke mwema na bla bla nyingi, right angejua huku nyuma ya pazia,hakika nikiamua nijibu makonde aliyonipiga dunia hii kwake ataiona chungu kwl kwl.
Achana na huyo mke wa jamaa. wanawake ni dhaifu sana unamuonea bure kwa kumtumia kulipa kisasi. Muache ndugu yangu pia achana na visasi mrudie Mungu wako na tubu dhambi zako
 
Kuna mmoja alishawahi kujifanya ni mtu wangu wa karibu, lakini kumbe nyuma ya pazia alikuwa anajaribu kumvuta shemeji yake, nikaja kuujua mchezo na yeye akashtuka nilipompa makavu toka siku hiyo hata kunipa salamu hawezi.

Ila hakuwahi kumla, alivyokuwa bwege anampanga shemeji yake huku bibie anakuja kunionesha chat zake.

Jamaa alinitambulisha wasichana wake nikawa na ushemeji nao, hadi alifikia kugonganisha magari mimi nikaua soo kwa kutumia uongo asije achwa.

Yaani angejua hakuna mpenzi wake ambaye ningemtaka nikamshindwa, asingejaribu kufanya hivyo. Niliamua kumheshimu kama mshkaji, akajikuta mjanja mno.

Bahati yake sikuwa na moyo wa visasi, nilipotezea kwa kumwona fala. Hakufanikiwa anachokitaka.
 
Bado hujafuta maumivu na isitoshe rafiki yako hajui kama umemgongea mkewe,ukitaka naye aumie kama ulivyoumia mtumie picha za mkewe unamtafuna na screen shot za messages umwambie hivi Malipo ni hapa hapa duniani Msenge mkubwa sitaki tena urafiki na wewe!
Kiukweli hata kama ningekua mm lazma ningehakikisha jamaa anajua....haina maana ya kulipiza kisasi alafu adui yako asijui kama umelipiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alinifanyaga ni kila kijiko kimoja nijihisi nimeshiba, nikilala nisipate usingizi,hata kuangalia mechi ya chama langu pendwa la arsenal nikawa nashindwa, tena ashukuru namlia kimya kimya sijataka ye ajue labda kitachokuja kumponza na choko choko zakutaka kuanzia Ku mtrace mke wake
Mkuu itakuja kukucost.....pora upoge revange moja kubwa and let your enemy knows then sepa mazima na huyo mke wake achana nae mazima kuliko kuendelea kula kimya kimya....siku jamaa akianza kumtrace mkewake then akajua ni ww atakutafutia siku atakufumaniwa na atakufira na wahuni....then who atakua kafaidi? Zaidi utakua umelose pakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo baadae panapo uzima.

Kama mwanaume nafasi yangu kwake niliitendendea haki kiukweli, kuanzia mambo ya chumbani, pesa ya kujikimu yeye binafsi na bibi yake pia aliyekuwa anamlea na kuishi nae, kiufupi nilikuwa na wahadumia wote wawili yeye pamoja na mlezi wake. Pamoja nakumtafutia kijikazi kidogo sehemu flani lakini sikuwahi kuacha kumpatia vijizawadi kadhaa na extra money yayeye mwenyewe kujikumu.

Nilikuwa nayafanya yote haya kwaajili ya mapenzi kumonesha kwamba ninajali na ninatambua thamani yake. Kipindi chote hicho nilichokuwa nae sikuwahi kumhisi ama kumdhania kama anaweza kunisaliti maana mwenyewe kwanza alikuwa na hofu na Mungu na pia ni mtu wa kusali sali.

Basi bwana mwaka 2016 mwezi 9 nilipata dharura nikawa nimesafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya kazi ya maafa ya tetemeko la ardhi lililokuwa limetokea mwaka huo. Nilipokuwa kagera siku mmoja nikipata SMS toka kwa dada mmoja rafiki yake mpezi wangu shem achana na atakukuja kukupatia magonjwa bure huwa anatoka kisiri siri na fulani akamtaja jina uyo mtu na mda huu navyoongea hapa yupo hotel flani na uyo bwana ake ilikuwa ni mida ya saa saba na nikakumbuka asubuhi mida ya saa 4 nilitoka mtumia sh 50 elfu huyo aliyekuwa mpenzi wangu alikuwa anadai anajisikia vibaya anataka kwenda hospital.

Basi bana baada ya kupata taarifa ile nikapiga simu ya aliyekuwa mpenzi wangu ikawa inaita pasipo kujibiwa na baadae ikawa haipatikani kabisa, kiukweli siku iyo nilishindwa Fanya activities zangu, na huyo jamaa niliye ambiwa aliekuwa nae ni rafiki tuliyokuwa tumeshibana kama ndugu aise na alikuwa anajua kwamba yule ni shemeji yake na hata yule mpenzi wangu alikuwa anajua jamaa ni rafiki yangu kindaki ndaki lakini wao wakaamua wanizunguke na kuenda gusishana vikojoleo vyao.

Kiukweli pitia shoga wa aliyekuwa rafiki wa mpezi wangu nilipata ushahidi wa screan shots wa baadhi ya chat na picha za mahaba walizokuwa pamoja mpenz wangu na huyo rafiki yangu. Maumivu ya kugongewa na kusalitwa na hasa na watu wako wa karibu ni makali sana.

Mi nilivyorudi dar es saalam wala sikuwauliza kitu kikubwa nilichofanya nilibadilisha makazi na line zangu za simu pia nikaenda ishi mitaa ya mbali kidogo ili kupunguza mawasiliano na wao mwezi wa 3 2017 nikaja sikia binti ni mjamzito alipewa na huyo rafiki yangu but penzi lao halikudumu binti ameachwa na mtoto mmoja mdogo.

Hivi juzi juzi miezi kama miez kama 5 iliyopita nikipata taarifa jamaa yule rafiki yangu kaoa ndoa ya kidini kabisa, japokuwa sikuhizi me naye hatuna kabisa mawasiliano hata harusi yake iyo sikuweza hudhuria, sasa nikajiapiza lazima nilipize kisasi. Basi bana nikaanza tafuta jina la mke wa mshikaji fb na insta mungu si Athuman nikalipata kule fb nikamuad messenger kama kawaida nikaanza kuimba nae,mungu alininyima moyo wa ubahiri aise lakini kama nakitaka kitu swala la kuhonga ili mtu nimuingize kwenye killing zone yang sio shida, basi nakumbuka yule bint aliniomba 70 elf Mara ya kwanza nikajitutumua nikamrushia basi akawa navijitabia vya kuomba vijihela vidogo vidogo Mara kwa mara nahisi alikuwa anadhani atanikimbiza kwa ajili ya vile vibomu.kuelekea krismas aliniambia kuna sehemu anadaiwa mambo ya vijikoba wenzake watashindwa gawana pesa maana n muda wa kukivunja kikoba, nikamwambia haina shida we njoo napokaa ntakupatia, siku zote izo alivyokuwa akini bom alikuwa ananikwepa kwepa kuonana na mimi na hisi kwenye hili alitingwa kweli akawa hana jinsi.


Siku ya siku mtoto alifika napokaa basi akaamua kunitunuku, kiukweli bibie alikuwa ana hamasisha haswa na kajaliwa nyama nyama kama za dada mmoja mnae msifiaga sana humu anayepatikana kule chimwaga Dodoma licha ya pesa niliamua lazima nihikikishe namkuna kisawa sawa raha ya tendo hili mlifurahie wote wawili baada ya mkewe kunichukua na kunipeleka sayar ya ulimwengu mwingine nikaamua nami kutoka moyoni kuanzia siku iyo kumsamehe kwa dhati kabisa yule rafiki yangu, adi leo navyoandika thread hii kama nawe huwa unapita pita humu jf kama Mimi juwa nimekusamehe classmete wangu kuwa na amani tu.
Umenifurahisha, mbona kawaida ila wangu nilikuta mkewe ni mzee sana na amechoka! Niliona kinyaa nikamtigo yeye na kumsamehe
 
Back
Top Bottom