Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Mimi sijasoma kontenti nimeishia tu kwenye title nakujiaemea nhiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhh!!!!!
Usifanye hivyo, huenda tukapata funzo kuwa hii inafaa au haifai[emoji16]
 
Mimi sijasoma kontenti nimeishia tu kwenye title nakujiaemea nhiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhh!!!!!
Samari;
-alikuwa na mpenzi mcha Mungu hivyo alimwamini sana
-alimtunza kwa kila hali yeye na bibi yake
-kuna siku akapata safari kwende Bukoba kuokoa wahanga wa tetemeko


-Akiwa kule akapokea txt toka kwa shem yake yaani rafiki wa mchumba kuwa achana na huyu dada anakucheat kila mara na rafiki yako na muda huu wako lodge

-jamaa akakumbuka asubuhi aliombwa pesa kuwa binti mgonjwa anaenda cheki afya na alimpa 50k.
-ili kujirishisha alipiga simu papo hapo haikupokelewa mara ikazimwa kabisa.

- kwa ushahidi zaidi akarushiwa chat zao za mahaba..
--Jamaa aliporudi hakumtafuta mchumba wala rafiki yake wa kiume wanayepeana utamu.

Akabadili nyumba ya kupanga na simu wakapotezana mazima.
- huku wao mahaba ndindi mara mimba...binti hakuolewa bali jamaa akaoa mwingine.

ALICHOFANYA mleta uzi alimtafuta mke wa jamaa kupitia fb..akawa anampa visenti mwishowe akamla.

*****jamaa ndipo aliposamehe alichofanyiwa na rafiki yake...lkn binti kachoka kachakaa..


Toa komenti sasa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huo ukorofi ujue hihihihihihi.. Kwamba jamaa akaoa Mwingine mamaeeeee... Ntarudi kusoma vizuri
 
Pumbavu
 
Mkuu huruma alikuwa nayo alipombato mchumba wako?inafikia muda kutolipiza ubaya wa makusudi ni usaliti!mtumie picha za mkewe na screen shots afu muulize nlichokuambia!Huruma ilimponza panzi!
 
 
Sasa ili msamah uende vizuri hakikisha anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…