Nimemshangaza mwanafunzi wangu huyu, nahofia asije akatangaza hili

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee. Mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam.

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa.

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work.

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari, ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi.

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri.

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
 
Sasa mkufunzi unashindwa kutatua changamoto ndogo ndogo kama hizo.

Ukiletewa ugomvi wa ndoa ama mgogoro wa ardhi wakiamini wewe ni msomi uwasaidie utaweza!
 
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee... mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam,

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari... ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri

Kama akili ya mkufunzi ndio hii I'm very sorry kwa hao wanafunzi
 
Sasa mkufunzi unashindwa kutatua changamoto ndogo ndogo kama hizo.

Ukiletewa ugomvi wa ndoa ama mgogoro wa ardhi wakiamini wewe ni msomi uwasaidie utaweza!
Ishu iliyopo ni kumziba kinywa huyu mwanafunzi, ni mtu mzima kumbuka
 
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee... mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam,

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari... ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
kama uliweza kuongea sauti 7 kwa wakati moja basi wewe hapo hapakufai umtafute mwamposa au gwaji-boy ujiunge na team work yake mtapiga hela
 
Back
Top Bottom