Nimemshangaza mwanafunzi wangu huyu, nahofia asije akatangaza hili

Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee... mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam,

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari... ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
Kwa kweli wewe mkufunzi wa Chuo kikubwa dar. Hata uandishi wako unaonesha wewe ni Mkufunzi wa Chuo Kikubwa.
 
Me sijaelewa wakuu, aliemuelewa mkufunzi anieleweshe tafadhali.
 
Kama ulivyosoma tu mkuu, hakuna fumbo
Basi msihi mwanafunzi huyo abaki na siri yako hiyo ya kuongea sauti saba. Una matatizo ya kiroho? Unatumia mizimu kazini kwako? Unataka kuwa huru na mambo hayo? Tunaweza kujadili zaidi.
 
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee... mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam,

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari... ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
Kama ni mpiga ramli hiyo ni kawaida ili upate kuishi ila kama mkufunzi chuoni nenda hospitalini upande wa magojwa ya akili uandikishwe. Ikija siku ukatekeleza uhalifu kama mauaji ukwepe kamba shingoni.
 
🤓 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Humu ushindwe mwenyewe kucheka
Hii sauti 7 itakua muungurumo wa radi
 
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee. Mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam.

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa.

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work.

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari, ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi.

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri.

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
Kiukweli sijakuelewa
 
Sasa ulikuwaje mkufunzi, kama changamoto kama hiyo imekushinda

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Habarini natumai mu wazima vijana wenzangu kwa wazee. Mimi ni mkufunzi katika chuo fulani kikubwa hapa Dar es Salaam.

Kwa watu waleee wa teleportation astral na vikolombwezo vingine, natumai mmenielewa hapa.

Nilikuwa ofisini ni asubuhi tu muda huu huu kama dk 50 tu zilizopita, alinifuata kuhusu suala lake la course work.

Nikamuelekeza safi tu, sasa akawa anauliza maswali ambayo kwa umri na level yake ya elimu aliyofikia, ni ya kipumbavu ninaweza kuyaita hivyo.

Hivyo nikakasirika na bila kutambua nikawa naongea sauti 7 kwa wakati mmoja... alitetemeka mno yule dogo, uzuri ni kwmba nilishtuka mapema nikapunguza munkari, ilikuwa ni kitendo cha kama sec 10+ hivi.

Nashindwa kuelewa alishtuka kwa mimi kufoka wakati hakuzoea kuniona kwenye hali ile,au alishtuka kwa kuwa niliongea kwa sauto saba pasipo kujua?

Nimepata hofu mno,nimejaribu kumzuga zuga huyu dogo na naona muelekeo ni mzuri.

Kwa changamoto ya namna hii naitatuaje hasa ikitokea kwenye kituo cha kazi? Na ukizingatia kazi yenyewe inahusisha watu wengi eneo moja yaani wahadhiri na wanafunzi?

Nalikabili vipi hil endapo likiwa kubwa?
Una bipolar disorder
 
Tangu ufinywe makende uwezo wa kufikiri umepungua
Screenshot_20230516_225946.jpg
 
Back
Top Bottom